Watu wa Dubai nao, kha!

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
Hakuna kutajana majina

Hivi dada zetu wengine ndio first time kukaa nje ya nchi?

but then again what did I expect from that tacky place?
 
Kaka imekueje tena? tacky kivipi? mboni siku za nyuma ulikua ukituletea mapicha ya Dubai huku ukiisifia?
 
mji umevamiwa na hao dada zetu wenye miguu kama chokstiki

basi hatusemi wamekuwa kama vile vipofu walioona
 
Waache wachume waje kufanya investment Bongo.

I support them kama wanafanyia huko.
 
34179_443824205305_700795305_6464877_3869739_n.jpg

IMG_3081.jpg
 
Huyo wa juu si wa Dubai atiiii na mi namzimia kichizi namtamni sana awe wifeeee. Huyo wa chini ndo limbukeni wa Dubai. Too fake namchukia sana mwanamke huyu ndo maana kaishia kuolewa na mdhungu maana hakuna waketu ambaye angemweza:embarassed2:
 
Unamfahamu mpaka umchukie?Embu tafuta mpenzi akuweke bize mwanaume wewe acha kuchukia watu ambao si ajabu hata hawajui unaExist!
 
Back
Top Bottom