Watu 89 Waviacha Vyama Vyao, Wajiunga ACT Wazalendo

ACT Wazalendo

JF-Expert Member
May 5, 2014
610
1,540
Leo katika mkutano wa hadhara uliofanyika Bukoba Mjini, Kiongozi wa Chama, Ndugu Zitto Kabwe Ruyagwa amepokea wanachama 89 kutoka CCM, CHADEMA na CUF. Miongoni mwao viongozi. Hapa tutawataja viongozi tu.

Kutoka CCM
1. Edither Deogratius Mwenyekiti Kata ya Ibwera

2. Bi. Nadhifa Kanuma Mwenyekiti wa UWT Kata ya Katoro

Kutoka CHADEMA
1. Obadia Faustine Mwenezi Wilaya
Pascal Mulokozi Katibu wa BAVICHA Wilaya

2. Joniasi Kyakaraba Mwenyekiti wa Kata ya Bujugo.

Kutoka CUF
Hashimu Ismail Mwenyekiti wa Kata ya Katerero

Hivi sasa watu wa vyama mbalimbali wameona ACT Wazalendo ndio jukwaa sahihi la wao kufanya siasa za kujenga Taifa letu.

DSC_6533.jpg
View attachment 2645004
DSC_6862.jpg
DSC_6839.jpg
 
View attachment 2645005View attachment 2645004View attachment 2645017View attachment 2645018
Kwa takwimu zipi hizo ?
 
Vizuri ,ila Tatizo kubwa ni kupambana na CHADEMA .
 
Sasa hivi naona mnajitahidi kubalance Shobo, maana mlikuwa mnapata wanachama toka CDM tu. Je hamkupata watu wasio na vyama, nyie mnapata wenye vyama tu?
 
Leo katika mkutano wa hadhara uliofanyika Bukoba Mjini, Kiongozi wa Chama, Ndugu Zitto Kabwe Ruyagwa amepokea wanachama 89 kutoka CCM, CHADEMA na CUF. Miongoni mwao viongozi. Hapa tutawataja viongozi tu.

Kutoka CCM
1. Edither Deogratius Mwenyekiti Kata ya Ibwera

2. Bi. Nadhifa Kanuma Mwenyekiti wa UWT Kata ya Katoro

Kutoka CHADEMA
1. Obadia Faustine Mwenezi Wilaya
Pascal Mulokozi Katibu wa BAVICHA Wilaya

2. Joniasi Kyakaraba Mwenyekiti wa Kata ya Bujugo.

Kutoka CUF
Hashimu Ismail Mwenyekiti wa Kata ya Katerero

Hivi sasa watu wa vyama mbalimbali wameona ACT Wazalendo ndio jukwaa sahihi la wao kufanya siasa za kujenga Taifa letu.

View attachment 2645005View attachment 2645004View attachment 2645017View attachment 2645018
Ivi haya mambo bado yapo kweliiiii

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Leo katika mkutano wa hadhara uliofanyika Bukoba Mjini, Kiongozi wa Chama, Ndugu Zitto Kabwe Ruyagwa amepokea wanachama 89 kutoka CCM, CHADEMA na CUF. Miongoni mwao viongozi. Hapa tutawataja viongozi tu.

Kutoka CCM
1. Edither Deogratius Mwenyekiti Kata ya Ibwera

2. Bi. Nadhifa Kanuma Mwenyekiti wa UWT Kata ya Katoro

Kutoka CHADEMA
1. Obadia Faustine Mwenezi Wilaya
Pascal Mulokozi Katibu wa BAVICHA Wilaya

2. Joniasi Kyakaraba Mwenyekiti wa Kata ya Bujugo.

Kutoka CUF
Hashimu Ismail Mwenyekiti wa Kata ya Katerero

Hivi sasa watu wa vyama mbalimbali wameona ACT Wazalendo ndio jukwaa sahihi la wao kufanya siasa za kujenga Taifa letu.

View attachment 2645005View attachment 2645004View attachment 2645017View attachment 2645018
Ikiwa wakitoka TLP 1 na Cuf 88,🤔
 
Vizuri ,ila Tatizo kubwa ni kupambana na CHADEMA .
ACT iliasisiwa kupambana na CDM. Rejea uchaguzi wa 2015 ACT ikiwa na mwaka mmoja tu, ilisimamisha wagombea nafasi zote hapa nchini. Hela walitoa wapi, majibu anayo JK, Marehemu Membe, Mwigulu, January, Nape nk. Membe hakuwa mgombea wa ACT 2020 kwa bahati mbaya, bali ni mmiliki halali aliamua kufanya yake. Ni bahati tu Maalim Seif alimpotezea.
 
Siasa chafu,uongozi na watu wasio wazalendo 🤔
 
Mkuu Zitto msimtupe Samson Mwigamba , msimuache aendeshe Bodaboda
Nina hakika, kuna watu humu hawamjui Samsoni Mwigamba ni nani!

Hizi siasa "maslahi" zinamatatizo yake. Ukisahaulika unasahaulika kwelikweli!
 
Back
Top Bottom