Watu 4 watiwa ndani baada kuzomea msafara wa Dr. Shein kisiwani Pemba

Sasa hao polisi wamewaweka ndani kwa sababu gani na shein mwenyewe ni maisha aliyojichagia kuzomewa
 
Sasa unakamata mpaka watoto duh?Kweli ukiwa CCM ni janga ,huyo mtoto wa miaka 11-16 unamfungulia mashtaka yapi??Au baadaye utaongeza miaka yake??

Hivi mtu akikuzomea ametenda kosa gani??
Mtoto au litoto, hayana adabu.
 
Mtoto au litoto, hayana adabu.

Duh,umesahahu Salma Kikwete alisema Mtoto wa mwenzio ni mwanao.Mtoto ni mtoto kinachojalisha ni umri wake.Unaweza kumuita majina yoyote utakayopenda lakini mwisho wa siku ni mtoto,na kama mtoto huna haki ya kumfungulia mashtaka.

Mtoto wako wewe unahakika anaheshima??Kama unauhakika basi mtoto wa mwenzio ni mwanao.

Ninawasiwasi nyie ndiyo mnaobaka na kulawiti watoto mkisingizia shetani
 
Dunia humu kuna "watoto" na "mitoto". We ukiona Toto halimsikii mwanadamu yeyote hata likionywa vipi ujue ni jipu hilo. Maana mwana umleavyo ndivyo akuavyo, na asiyefunzwa na babaye hufunzwa na ulimwengu. We ulidhani ulimwengu ni maghorofa!
 
Kaka wee nenda kaite hivyo mitoto yako siyo watoto wa wenzako.Ninauhakika mitoto yako ndiyo isiyokuwa na adabu.
 
Wangu hawasomi "sharia" wanasoma Elimu zote. Halafu, hebu mniache, juzi juzi hapa nilipigwa ban kwa majibu yenu haya haya! Mniacheee, kama kuchomwa ntachomwa Mimi huo moto, nyie na sharia zenu msijifanye kuhukumu watu hapa duniani.
 
Jifunze heshima.Heshima ni kuheshimu ubindamu wa mtu haijalishi chuki uliyonayo kwao.Aliyetuumba haanglii vyama vyetu anaangalia ROHO zetu,tuache ubinafsi,tuache chuki,tuache ubaguzi.

Mtoto ni mtoto haijalishi tabia yake ni mtoto tu
 
Hana adabu.
 
Hana adabu.

Hata kama hana bado status ya UTOTO wake haijatoka.Nimekwambia anza kuita wanao MITOTO yako.Sawa.Lakini usiite mtoto wa mwenzio litoto.Inawezekana na wa kwako ni LITOTO pia.Heshimu wengine hata kama huwapendi huji kesho nani atakusaidia.
 
Duh, imekuwa Korea ya Kaskazini ya Kim Jong-un itafikia wakati Mh. akihutubu usipopiga makofi au kushangilia utafunguliwa kesi.
 
Hata kama hana bado status ya UTOTO wake haijatoka.Nimekwambia anza kuita wanao MITOTO yako.Sawa.Lakini usiite mtoto wa mwenzio litoto.Inawezekana na wa kwako ni LITOTO pia.Heshimu wengine hata kama huwapendi huji kesho nani atakusaidia.
Wapi, akhera or?
 
Back
Top Bottom