Shinyanga: Kuna tatizo la chanjo za watoto wachanga katika zahanati hasa zilizopo vijijini wamama wanapeleka watoto kwajili ya chanjo kama ilivyoandikwa kwenye kadi za kliniki na matokeo yake hupata pungugufu ya vile ilivyohitajika au kukosa kabisa na jibu wanalopewa ni kusubili mpaka zitakapopatikana.
Je mtoto akikosa mtiririko mzuri wa chanjo hakuna madhara?
Kwani kuna tatizo gani hasa inayochangia baadhi ya chanjo kukosekana?
Je mtoto akikosa mtiririko mzuri wa chanjo hakuna madhara?
Kwani kuna tatizo gani hasa inayochangia baadhi ya chanjo kukosekana?