Watoto wa vigogo wamepenyezwa Mizani - Magufuli

Sasa yeye kama Waziri kwanini asichukue hatua ya kuwafukuza kazi badala ya kulalamika!? Yeye mpaka kuweza kulalama ina maana ameona kuna ushahidi wa kutosha kutoa malalamiko yake hadharani? Je amechukua hatua zipi hadi sasa kupambana na hao watoto wa vigogo!?

Jamani mmesahau alichofanyiwa na Waziri mkuu jimboni kwake Chato pamoja na mkuu wa kaya wakati bomoa bomoa ya waliojenga katika hifadhi ya barabara imepamba moto?
 
Katika ubora wako Mkuu na unafiki wake unazidi kushamiri. Dhalimu DU mutu ya dhuluma. Wamefukua kaburi.

Magufuli mnafiki sana, kama kweli ana nia awatimue ndo atutangazie.
Haya maneno yake yamegubikwa na uoga.
Mtu muoga ni muongo.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom