Watoto wa Amina Chifupa

Wako wapi watoto wa Amina Chifupa?
Wanaishi na nani?
Wadau nisaidieni

Hivi Bujibuji hujatumia kilevi kweli hii weekend? Unashindwa kuulizia watoto wanaojifunika mabox hapo Kariakoo badala yake unauliza watoto wa geti Kali!!!
 
Hivi Bujibuji hujatumia kilevi kweli hii weekend? Unashindwa kuulizia watoto wanaojifunika mabox hapo Kariakoo badala yake unauliza watoto wa geti Kali!!!

Geti kali?thubutu yako kila kitu Wazazi waliondoka navyo,ulishaona tena magari yoyote yaliyoandikwa Kitendawili hapa Mjini?
 
Amina alikuwa na mtoto mmoja romaninyo, labda huyo Medy ndo ana watoto kibao!
 
Toka Meddy& Amina wafariki gari naloliona barabarani ni lile prado tu la Amina foundation
 
tupo na mtoto wa Mpakanjia hapa jamaa choka mbaya kila siku analalamika baba ake alimtosa toka anazaliwa
 
Mtoto wa Amina Rahman alichukuliwa na babu yake Mzee Chifupa (baba yake Amina)
 
Back
Top Bottom