Watoto Nachonga uchiku

Capitano

JF-Expert Member
Apr 7, 2011
1,959
1,633
Mama Chipoku kamuuliza baba Chipoku mbona vinyago unachonga vizuri sana lakini watoto wako wana sura mbaya sana? Baba chipoku akajibu Vinyago nachonga nchana na watoto nachonga uchiku.
 
Back
Top Bottom