Watoto 11 Baba 5 tofauti-London ya kisasa

mmakonde

JF-Expert Member
Dec 26, 2009
965
66
largefamily415.jpg

United front: Barbara Harriott with her 11 children by five men. All but the oldest lives with her in a four-bedroom house in Lewisham
 
Hata nchi zetu maskini zinajua family planning kuliko UK ya sasa.Ni kawaida kukuta
akina mama wana watoto na different fathers.Hii ipo sana kwenye jamii ya watu weusi!
Karibu ya 50% ya akina mama weusi ni single mothers.Ndio hapo matatizo huanza kwa vijana
wanaolelewa na single mothers,study inaonyesha kuwa vibaka wengi jijini London,wanatoka katika single mother family.
 
wanafanya kusudi hai ili apate benefit,hapo kapewa nyumba hio bure ambayo ingemgharimu kama£1500 kwa mwezi bado hela ya kila mtoto kwa wiki huyo anaweza kutengeneza hata£700 bila kufanyakazi,hao watoto ndio mtaji wake.
 
Back
Top Bottom