mkweremkwere
New Member
- Jul 9, 2012
- 4
- 3
Taarifa nilizata hivi punde ni kwamba watetezi wa hakinza binadamu wamewasilisha maombi kwa asasi za kimataifa zinazojihusisha na masuala ya haki za binadamu kuingilia kati mgogoro unaoendelea nchini kati ya madaktari na serikali. Chanzo cha kuaminika kinaendelea kutafuta nakala ya barua ya maombi hayo ambayo yanalenga kupata ushauri na kuibana serikali kurudi katika majafilianonna kupunguza ubabe. Tutaianika barua punde tu ikipatikana