wateja wa Voda na mahackers Leo!!

serious1

Member
Jul 5, 2011
40
10
niwape pole wateja wa Vodacom kwa adha wanayoipata...........to be honest is a very serious problem.leo nilipita Vodashop ya Ohio nikakuta idadi ya wateja kubwa mno na wengi wao mara wanapofika kwa mhudumu walikua wanaishia kuonyesha sms za kwenye inbox zao kwamba 'wameshinda pounds mia kadhaa' kutoka sjui nsn na ishu km izo..ikiwalazimu kuwasiliana na 'mtumaji' kwa maelezo zaidi jinsi ya kuipata iyo 'zawadi'..................mi sio msemaji wa Voda they know what to do

kwa haraka haraka nimefuatilia kwenye mitandao na kupata hii link: Vodafone Website Knocked Offline by Hackers inayoonyesha kwamba jana website yao ilikua hacked ...sina uhakika kama vinahusiana!!

othersiwe hongera zao kwa MD mpya............kwa wale mlioliwa poleniiiiiiiiiiiiiiii
 
Back
Top Bottom