WATCH: Oil explorations & projects in Tanzania

mengi yanakuja hasa zinapogunduliwa mali adimu kama hizi.
watz tusidhani kuwa tutafaidika hata kidogo na maliasili zetu.
labda tuombe mwalimu afufuke na si chini ya wahafidhina
uranium ndo kabisa maana kama mwendo ndo huu tulonao
tutalia mpaka macho yawashawishi wasukuma kututsingizia wachawi
mchsksto wake upo katika serious fraud na mwisho wake
tutabaki na mashimo tu kama yale ya dhahabu pale buhemba
 
Mafuta yote ni mafuta ya CCM na nyinyi Watanzania MRIE tu. "Waheshimiwa" watapewa mamilion ya shares katika kampuni husika na kuwa mabilionea na nchi kuambulia 3% royalties. Naam Jasusi, hakuna nchi hata moja ya Afrika yenye mafuta mabyo ina rekodi nzuri katika rasilimali hii na ukitilia maanani mikataba ya uchimbaji wa dhahabu ambayo tumeliwa basi hapa pia ni lazima tuliwe kama ambavyo itakavyokuwa kwenye uranium.

We BAK, kwani CCm ni nani? Ni Watanzania, mimi na wewe. Karibu tufanye sharing kama una nguvu za kutosha kifikra.
 
mafuta hayo yanaweza kuwa na faida au hasara kwetu................kwa uongozi kama huu uliopo, bora hata yasichimbwe. tusubiri viongozi wamaana kidogo waingie madarakani.
 
Ana point yake. Viongozi wa Tanzania wanatakiwa kuwa aggressive katika issues za raslimali za Taifa. Kwa serikali hii tuliyonayo na itakayokuja hii siyo good news ni tatizo lingine. Mambo ya Richmond na scandle za migodi mingine yanakuja.

Kuongelea matatizo bila kutoa solution haifai:

Solution: Serikali ya CCM haifai tena kuongoza katika Karne hii.

Way forward: Wale wote ambao tunaona wanafaa ndani ya CCM ni wakati muafaka kuwashawishi waachane na siasa na mawazo mgando ya CCM kwani Tanzania bila CCM inawezekana na maisha yatakuwa bora zaidi.Hiyo amani na utulivu wanayodai wanaidumisha tunaidumisha Watanzania wote. Wamefanya mambo mengi ya kuvuruga amani na utulivu Wametuibia raslimali zetu, wameuwa demokrasia na tunachaguliwa viongozi na kikundi cha wajanja fulani, wamechochea vurugu na machafuko kwa kusingizia vyama vya upinzani tumenyamaza, na hila nyingine. Je amani na utulivu nani anaidumisha??????????
 
Hiyo Block 7 ndo iko Zenj?

Zanzibar na Pemba ni Block 9-12
Nitalia sana iwapo hizo blocks hazitakuwa na mafuta ya kutosha kuzalishwa na sijui ndugu zangu kama watajenga hoja kuwa mafuta yarudishwe kwenye muungano iwapo bara yataonekana kuwa mengi sana.
 
sina ninachokijua kuhusu uranium, ni update basi


Dada Katelero, imegunduliwa hii kule Dodoma, Morogoro na kule Namtumbo, Songea. Ni madini ambayo yana bei nzuri sana katika soko la dunia lakini inahitaji uangalifu wa hali ya juu katika uchimbaji wake ili kutochafua mazingira na kusababisha vifo vya raia wanaoishi katika maeneo ya karibu na machimboni.
 
Zanzibar na Pemba ni Block 9-12
Nitalia sana iwapo hizo blocks hazitakuwa na mafuta ya kutosha kuzalishwa na sijui ndugu zangu kama watajenga hoja kuwa mafuta yarudishwe kwenye muungano iwapo bara yataonekana kuwa mengi sana.

Tumekulia na kinaa wazazibari na ndio wazee wetu wamekuwa na msemo mmoja usemao kama ifuatavyo chamtu Mav???? (kinyesi) pia kumbuka fika waraja kuwa Watanganyika hawamiliki Tanganyika wanaishi tu ndani ya Tanganyika kwa mana hiyo hata kama hayo mafuta mungu amewabarikia na iwe hivyo mungu awabarikie hayatowapa chocho walio wengi kina mzee kazi haipo (pangu pakavu)isipokuwa nikuzidisha majivuno tuna hichi tuna kile,wazungu wanatupenda sie
 
Me sat this, may that dark oily thing remain where it is until such a time when we are ready for its exploration.

When we have effective institutions in place that can be deployed to manage such a venture, when we have in place safe guards against abuse of such a venture of this magnitude.....cos abuse will be in plenty here there comes a time when we really have to take stock of the nationan interest at heart.

God bless our nation.

Mister-G
 
In the next three decades, mambo ya energy yatakuwa ni the biggest issue in our planet. Fossil fuels zinazotegemewa hifadhi zake zitakuwa zimetumika na kupungua sana, na hifadhi za mafuta kule Aarabuni zitakuwa sio economical viable tena. Kama kungekuwa na think tanks wa kueleweka ktk nchi yetu, huu ndio ungekuwa wakati muafaka wa kuweka mikakati ya kunufaika, lakini kwa jinsi mambo yanavoenda inaonekana wazi kwamba hatujajiandaa kwa lolote. Tunasubiria kila kitu wa-initiate wageni na mwisho wa siku tutabakia watazamaji kama kawa.
 
Tanzania's oil prospects get even brighter Monday, 28 June 2010 23:12 digg

oil.jpg
By The Citizen Reporter

A recently concluded geological assessment in Tanzania's Southern offshore deep oil exploration project has shown prospective resource potentials of over a billion barrels of oil and gas.

An independent assessment of the first prospect of Dominion Petroleum Limited's block 7 in Tanzania shows a resource of one billion barrels of oil, or seven trillion cubic feet of natural gas.

According to Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC), Block 7 which is in Kilwa District, Lindi Region looks promising.

Information on the new discovery has also been published by the respected Wall Street Journal, quoting sources from within the exploration company.

The United Kingdom-based company said, in an update on its operations released yesterday, that the results on competent persons report (CPR) regarding the first prospect in Block 7, offshore deep-water has shown a prospective resource of one billion barrels of oil, or seven trillion cubic feet of natural gas.

The CPR was recently concluded by Energy Resource Consultants Limited (ERC). However, the consultants have placed a risk on the prospect, called "Alpha", with a 12 per cent Chance of Success (CoS).

Reached for comment yesterday, TPDC said that despite such positive developments, there was still a lot to be done before Tanzania could have actual oil flowing.

"We know them (Dominion Petroleum Limited). They have been here since March 2007…There will have to be a three Dimensional Seismic survey before we can talk of oil production," said TPDC's chief exploration geophysicist Stephen Kalwihura, promising to release further details later.

Dominion on its part says such a development was only the first prospect in the block and the CPR work undertaken on Alpha was intended to assist in planning a 1,000sq km Seismic survey which is projected to begin next month and will take approximately two months to acquire.

The company's CEO, Mr Andrew Cochran, said once the company is armed with the upcoming 3D seismic survey, it will carry out additional technical analyses and update the full prospect and lead inventory accordingly.

"Once completed, Dominion will initiate further work on the other prospects and leads already identified," he said.

Commenting on the development, Dominion chief executive officer Mr Cochran said: "This is an excellent start and demonstrates the ‘world class' nature of Block 7 in terms of hydrocarbon potential. The Alpha prospect is not unique, nor even the largest so far identified, but simply the most robust prospect to guide our continued work in the area."

Dominion, which is listed in the London Stock Exchange, has raised over Sh65 billion through share sales, to finance its projects in Tanzania and Uganda.

Last February the company slashed its exposure to onshore assets in Tanzania by agreeing a provisional farm, in a deal with French oil and gas assets in Uganda and offshore Tanzania.

In March the company contracted a vessel to shoot a third generation drilling seismic on its wholly owned Offshore Deep Water Block in the south of the country. Work is expected to commence this June.

The LSE-listed company also expects to commence the drilling of the PSA Kianika-1 well onshore Tanzania this month, where road construction has already been complted. The well is targeting recoverable resources amounting to 77 million barrels of oil, equivalent to a structural closure.

On February 15, 2010, Dominion announced that it would reduce its interests to 10 per cent in the Mandawa and Kisangire PSAs, through a farm-out agreement with Maurel & Prom, which still remains subject to government approvals.

"With funds from our placing, all necessary services and equipment having been identified and now secured, we are kicking off our 2010 exploration programme," said the company.

This includes the first ever well in the Lake Edward Basin of Uganda, as well as a large scale 3D seismic shoot in the emerging East Africa deepwater play of Tanzania.

"We have spent much time and effort getting all in place and are now ready to get to work on the ground. The next few months will therefore be the most active period experienced by Dominion so far in its corporate history," said Andrew Cochran.

Dominion is engaged in the exploration and development of oil and gas projects, primarily in East and Central Africa. In Tanzania, the company has one offshore and three onshore production sharing agreements in respect of five exploration licenses covering a total area of approximately 12 million acres.


 
NOOR OIL AND INDUSTRIAL TECHNOLOGY CONSORTIUM

PRESS RELEASE
Date: 11th May 2010
Location: Dar es Salaam - Tanzania
large project funding of approximately $6 billion is clearly a very significant challenge.??????????????

(NOITC) has successfully acquired initial funding for the implementation of both their Oil Refinery and Oil Pipeline (between Dar es Salaam, Mwanza, and Kigoma !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

For more information click HERE



THE COMPANY ADDRESS IS
MINOO DAVAR
PRESIDENT

NOIT HQ. USA
Corporate Address
P. O. Box 6878 Thousand Oaks.
CA. 91359 USA


it has no Physical address this means even if you go to CA you can not even see its HQ, Na hapa TZ office zake ziko wapi???? kampuni kubwa kama hii.????

ISN'T THIS ANOTHER RICHMOND IN ANOTHER T-SHIRT??????

 
NOOR OIL AND INDUSTRIAL TECHNOLOGY CONSORTIUM

PRESS RELEASE
Date: 11th May 2010
Location: Dar es Salaam - Tanzania
large project funding of approximately $6 billion is clearly a very significant challenge.??????????????

(NOITC) has successfully acquired initial funding for the implementation of both their Oil Refinery and Oil Pipeline (between Dar es Salaam, Mwanza, and Kigoma !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

For more information click HERE



THE COMPANY ADDRESS IS
MINOO DAVAR
PRESIDENT

NOIT HQ. USA
Corporate Address
P. O. Box 6878 Thousand Oaks.
CA. 91359 USA

it has no Physical address this means even if you go to CA you can not even see its HQ, Na hapa TZ office zake ziko wapi???? kampuni kubwa kama hii.????

ISN'T THIS ANOTHER RICHMOND IN ANOTHER T-SHIRT??????

Mkuu,
Ahsante sana kwa thread hii, unaweza ukawa very close to the truth. Maswali yangu ni, je nani anafinance hii project? Serikali itaidhamini NOITC kupata mikopo? Kama hili la pili ni sahihi then we are in for the shock of the century.

Endelea kudodosa na kutujuza
 
Utafiti,uchimbaji,uzalishaji,usafirishaji,na uuzaji wa mafuta unahitaji ujuzi mkubwa,hivyo basi ni wakati muafaka kufungua vyuo vikuu nchini vitakavyotoa elimu juu ya Mafuta.

Ni jukumu la serikali kuhakikisha wananchi wanaelemishwa vya kutosha kwa kiwango kikubwa kuhusu mafuta. Norway walifanya hivyo STATIOL ya Norway imeileta mafanikio makubwa ukilinganisha na TPDC ya Tanzania.

Labda baada ya miaka 15 tutaweza kufaidika na laslimali hiyo. Kutegemea mataifa ya nje tu, tutaiibiwa kwa kila hali.
 
Back
Top Bottom