Watanzania wenye akili wanataka kuona nchi inakimbia kimaendeleo na si Ikulu Mpya kusifiwa na Wanafiki na Mafisadi

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Narudia...

Watanzania wenye Akili wanataka kuona nchi inakimbia Kimaendeleo na si Ikulu Mpya ikisifiwa na Wanafiki na Mafisadi.

Kwa mfano Ikulu ya Rwanda ni ya kawaida mno kuliko hata zote Afrika ikikaliwa na Rais Intelligent (brainy) Paul Kagame na nchi yao inakaribia hata kuziacha nchi zingine zilizotangulia kupata Uhuru, Kubwa Kijiografia ila zenye Mazuzu na Washamba wengi Wanaojitambua na Wasiojitambua.

Eti Ikulu yetu Mpya ni Kubwa na Nzuri kuliko zote Barani Aftika sasa hii in Connection gani na Maendeleo yetu na haya Maisha ya Watu Magumu?

Tumebakiza tu sasa kutangaza kwa Mikogo kuwa Taifa letu ndiyo Kinara wa Ushamba na Uzuzu Barani Afrika.

Mnaboa!
 
Ukweli usiopingika, nchi imejaa wanafiki wakubwa, wamejipa madaraka kwa nguvu,kila wanachokofanya, wapambe ambao wanafaidika kwa ufisadi husifia, vyombo vyote vya habari huzipamba taarifa zionekane nzuri wakati matrilioni yanapotea, matrilioni hayo ni kodi za walala hoi, zingetumika vizuri kusingekua na utitiri wa kodi kwani makusanyo yangekidhi matumizi, lkn kwa sasa, makusanyo hayawezi hata kulipa mishahara ya watumishi wa serikali…
 
Mlaumu yule mungu wako wa Chato kwa kukurupuka kwenda kujenga Ikulu Dodoma wakati nchi ilikuwa na shida nyingi za kutatua
 
uko sahihi mkuu mpaka tutakapoacha uchawa hii nchi ndiyo itakuja kuendelea....01,kuwe na kampuni za serikali state owned companies ambayo kila tenda ya serikali ipewe kampuni zetu ili tuepuke kupeleka pesa zetu china ,,,kuwe na 50%50% win win situation kati ya serikali na muwekezaji haswa kwenye sekta ya madini,mafuta , gas na mafuta ..nk
 
Mlaumu yule mungu wako wa Chato kwa kukurupuka kwenda kujenga Ikulu Dodoma wakati nchi ilikuwa na shida nyingi za kutatua

Ukifanya kazi wala huwezi wadhihaki waliotangulia mbele za haki tatizo kichwa kinauma ili upate tu hela ukanunue iphon12
 
Back
Top Bottom