Watanzania wengi wagonjwa

mutant gene

JF-Expert Member
May 18, 2014
876
322
Licha ya kutokuwa na utamaduni wa kuangalia afya zetu mara kwa mara, kwa kuangalia ngozi za watanzania walio wengi unaweza kuthibitisha kuwa watanzania wengi wagonjwa(wengi wao wakiwa wanawake)

Ukiangalia ngozi utagundua kuwa wengi wao wana rangi kama tano( kwa uchache) katika mwili mmoja. Kichwani, usoni, mikononi, miguuni na kiwili kiwili, kote huko kuna rangi tofauti.

Kama na wewe ni mlengwa(una rangi zaidi ya mbili mwilini) basi si vibaya ukacheki afya yako huenda ukawa si mzima.
 
Umesahau kama wewe mtoa mada ni marehemu mtarajiwa
 
Back
Top Bottom