Watanzania wengi sana wajitokeza kumuaga Sanga (USA)!

Poleni wafiwa & RIP Andrew.

Ila kuna vitu Watanzania mlioko Marekani mmenishangaza sana. Kuna video clip imekuwa inasambaa ikionesha Watanzania wakitoa heshma za mwisho kwa Andrew. Katika hali ya kushanganza watu wanatafuna "chewing gum', mbele ya mwili wa marehemu! Unatoa heshma za marehemu huku unafuna chewing gum? Hata wale waliokuwa wamesimama pembeni na walikuwa busy wanatafuna! Hii ni aibu na kumkosea heshma marehemu. Kukaa kwenu Marekani mmeshindwa kujifunza ustaarabu? Hata kwa mila za Kitanzania ni nadra sana watu wanamzunguka marahemu huku wakitafuna!

Pia nashindwa kuelewa busara iliyotumika kuwaanika hao watoto wakiwa wanaaga mwili wa marehemu baba yao. Pyscholigists wanaweza kutusaidia damage kwa hao watoto. Kwanini hamkufanya in private?
 
Jamani sio siri,yaani siku yangu mbaya mno,najuta hata kuangalia picha hizi.
It pains,it pains sana kwa watoto,yaani na feel pain kwenye moyo hali ya juu.
Watoto wananinyong`onyeza sana kuruhusiwa kwa style hiyo kwa umri wao,Kila nikikaa moyo unapiga kwa kustuka sana juu ya watoto hao kisaikolojia,ni mbaya kupita maelezo.

Mungu nisamehe,ila siku zote napenda kusema kwamba Africa bado Tuna Mungu aisee na anatupenda saana.

Mlioko Ulaya mtambue kwamba Mungu ni yule yule koo zenu zinae huku Tanzania,Dua na maombi muhim kwa Mfiwa ni dua zenu kwake na sio kushindana Make ups.Mawigi,miwani za bei mbaya na kuwa kama vile ni meeting lounge na sio msiba.
Kuna mwanangu hapa mkubwa kiasi wa 12 yrs ameniona naangalia,basi huwezi amini ameganda,namuon akabisaa kama amesizi vile,yupo kwenye tv lakini namuhisi anaumia kweli hali ile.Ila hawezi kusema nini kimemuumiza.
Na ukitaka kulipima hili,ita mwanao umuonyeshe picha then in 15 minutes baada ya kuiona utaniambia anavyohisi.
Mungu ametuambia hata kama nyumba haina chakula,basi wale watoto basi uwadanganye hata kwa kuandaa Jiko,ili wajue muda wowote chakula kinapikwa.Na sio kuwaambia jamani kalaleni leo hakuna kula,sasa ndio sawa na hao watoto
 
Hata marehem Naona kavalishwa mawani
Kuna desturi ya kuvalisha maiti nguo na vitu alivyokuwa anapenda, Bibi yangu alizkwa kaburi na jembe lake kwa kuwa alikuwa anapenda sana kulima hata kama naumwa, akipata nafuu tu mnamwona na kijenmbe chake kwenda kwenye bustani yake ya mboga !!!
 
Jamani sio siri,yaani siku yangu mbaya mno,najuta hata kuangalia picha hizi.
It pains,it pains sana kwa watoto,yaani na feel pain kwenye moyo hali ya juu.
Watoto wananinyong`onyeza sana kuruhusiwa kwa style hiyo kwa umri wao,Kila nikikaa moyo unapiga kwa kustuka sana juu ya watoto hao kisaikolojia,ni mbaya kupita maelezo.

Mungu nisamehe,ila siku zote napenda kusema kwamba Africa bado Tuna Mungu aisee na anatupenda saana.

Mlioko Ulaya mtambue kwamba Mungu ni yule yule koo zenu zinae huku Tanzania,Dua na maombi muhim kwa Mfiwa ni dua zenu kwake na sio kushindana Make ups.Mawigi,miwani za bei mbaya na kuwa kama vile ni meeting lounge na sio msiba.
Kuna mwanangu hapa mkubwa kiasi wa 12 yrs ameniona naangalia,basi huwezi amini ameganda,namuon akabisaa kama amesizi vile,yupo kwenye tv lakini namuhisi anaumia kweli hali ile.Ila hawezi kusema nini kimemuumiza.
Na ukitaka kulipima hili,ita mwanao umuonyeshe picha then in 15 minutes baada ya kuiona utaniambia anavyohisi.
Mungu ametuambia hata kama nyumba haina chakula,basi wale watoto basi uwadanganye hata kwa kuandaa Jiko,ili wajue muda wowote chakula kinapikwa.Na sio kuwaambia jamani kalaleni leo hakuna kula,sasa ndio sawa na hao watoto
Mkuu, kumbuka mtoto aliyezaliwa USA na anaishi huko huko sio sawa na mtoto wa Makete.
 
Halafu wote wa manjano Sioni mweusi hata mmoja au ndio yale maji?
Mkuu maji ya ulaya noma yaan nna mwana alikua mweusi tii yupo houston nimekuja kumuona juzikati khaa yaan balaa, asee mwwmbie Barbarosa ni Senga au Sanga maana nataka niwastue wasanii wenzake waandae mawani hawajui kama Senga kafa
 
Huku kwetu uende msibani umevalia hivyo watu wataacha kulia na kukushangaa wewe..
Watu wamejiremba kama wanaenda kwenye starehe! Mambo mengine ya kuiga yanatudharaulisha sana. Jinsi walivyokuwa wanahimiza michango ni tofauti na kinachofanyika nausikute huku Bongo waombolezaji wanashindia maharagwe wakimsubiri marehemu. Kumbe huko majuu ni ...................
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom