Gogle
JF-Expert Member
- Feb 26, 2013
- 1,495
- 867
- Thread starter
- #21
Safi sana mkuubiashara yeyote ambayo huzalishi kitu bidhaa au huduma hiyo ni kamali...
usa, europe na asia zimeendelea kwa viwanda sio maigizo ya kushinda online ku predict hela flan itapanda na flani itashuka..
jasho ndio njia ya mafanikio ya kweli ndio maana kuna kitu kinaitwa GDP na GNP..
forex ni kamali tu maana ni ubashiri kama kubet tu