Watanzania Wangekuwa na Kumbukumbu CHADEMA Wasinge Piga Kampeni

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,277
8,840
Huu ndio ukweli kwa haya machache tu,Nikuwapa kura CDM na kuwatema Ccm asubuhi tu.Washashindwa

2010 "Chadema elimu itakuwa bure"Ccm haiwezekani"
2010"Chadema tutaanzisha mchakato wa kuandika katiba mpya"Ccm haiwezekani"
2010"Chadema tutaunda baraza dogo la mawaziri wasiozidi 20"Ccm haiwezekani"
Miaka mitano baadaye Ccm wanacheza ngoma hiyo hiyo na la katiba wakalivamia likawashinda.Tujitahidi kutunza kumbukumbu watz wenzangu,Itaturahisishia kufanya maauzi sahihi kwa matapeli wote wa kisiasa.Na washajulikana.
 
Bahati mbaya CHADEMA ile sio hii ya mafisadi. Kama ingekuwa ile haki ya nani isingekuwa na kampeni na saizi tayari tunahesabu ushindi. Bahati mbaya mwenyekiti wa CDM ni zero. Ameua nguzo kuu ya chama, kutoka chama cha kupinga ufisadi kuwa chama cha kifisadi. Kutoka chama cha wananchi kuwa cha mafisi
 
Saivi mmefikia % ngapi kwenye kuhesabu ushindi?
 
Ni upumbavu na ulofa kumweka mtu aliekataliwa na CCM kwa sababu ana makandokando mengi na hawezi kuuzika nyinyi ndio awe mgombea kwenu, Kwanini hamna mgombea?
 
Wewe naona dawa imeshakuingia maana ukelele huu ni dalili tosha
 
Ni upumbavu na ulofa kumweka mtu aliekataliwa na CCM kwa sababu ana makandokando mengi na hawezi kuuzika nyinyi ndio awe mgombea kwenu, Kwanini hamna mgombea?
Ndugu KITOVU kwani wewe ulikuwa wapi usije kumbea ukawa?maana unafaa sana.
 
Huu ndio ukweli kwa haya machache tu,Nikuwapa kura CDM na kuwatema Ccm asubuhi tu.Washashindwa

2010 "Chadema elimu itakuwa bure"Ccm haiwezekani"
2010"Chadema tutaanzisha mchakato wa kuandika katiba mpya"Ccm haiwezekani"
2010"Chadema tutaunda baraza dogo la mawaziri wasiozidi 20"Ccm haiwezekani"
Miaka mitano baadaye Ccm wanacheza ngoma hiyo hiyo na la katiba wakalivamia likawashinda.Tujitahidi kutunza kumbukumbu watz wenzangu,Itaturahisishia kufanya maauzi sahihi kwa matapeli wote wa kisiasa.Na washajulikana.

Mbowe kaenda wapi?
 
kura zote ni kwa EL tuuuuu!!! akina pombe waende huko wezi wale chichiem bye-bye october 25
 
nasikitika ccm kwa sasa imebakiwa na wezi wa mitiani na standard seven,mabigwa wa matusi ndo ma think tank wao na wasiwasi kama huyu aliyesema anasubili ilani ya chama ndo vipaumbele vyake naogopa sana serikali ya magufuli washauri na ma genius wake ndo sample ya kina makamba junior,lusinde,kairuki,mwigulu kwa maana naona mawazo ambayo ayawezekani ya makamba ya kila kijiji ml 50 yameingizwa kwenye ilani na magufuli kayabeba hata bila ya kufikilia yani mtu mwenye PHD unashauriwa na mwizi wa mitiani yani tuna vijiji 19200 kila kijiji 50 mil yani kwa mwaka ni sh 960,000,000,000 dah uongo mwingine unawadhalilisha na phd zenu za magumashi za kujua rais wa libya ni Saddam Hussein
 
Ni upumbavu na ulofa kumweka mtu aliekataliwa na CCM kwa sababu ana makandokando mengi na hawezi kuuzika nyinyi ndio awe mgombea kwenu, Kwanini hamna mgombea?
Si unaona anavyowapelekesha lakini.!? Au unajifanya huoni moto wa Lowassa!?
 
Ukikataliwa a CCM ujue wewe huna makandokando,wewe ni Theluji!
Ni upumbavu na ulofa kumweka mtu aliekataliwa na CCM kwa sababu ana makandokando mengi na hawezi kuuzika nyinyi ndio awe mgombea kwenu, Kwanini hamna mgombea?
 
Huu ndio ukweli kwa haya machache tu,Nikuwapa kura CDM na kuwatema Ccm asubuhi tu.Washashindwa

2010 "Chadema elimu itakuwa bure"Ccm haiwezekani"
2010"Chadema tutaanzisha mchakato wa kuandika katiba mpya"Ccm haiwezekani"
2010"Chadema tutaunda baraza dogo la mawaziri wasiozidi 20"Ccm haiwezekani"
Miaka mitano baadaye Ccm wanacheza ngoma hiyo hiyo na la katiba wakalivamia likawashinda.Tujitahidi kutunza kumbukumbu watz wenzangu,Itaturahisishia kufanya maauzi sahihi kwa matapeli wote wa kisiasa.Na washajulikana.

Mimi nitakuwa miongoni mwa watanzania 5 wa mwisho kuipigia kura ccm......yaani oct 25 ccm wakikosa kura tano tu nchi nzima na yakwangu itakuwemo ktk hizo 5.
 
kwani kuna tofauti gani kati ya ccm A na ccm B? nyie wote wale wale tu. tena kama ndo wewe kizalia cha mafisadi ndo kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
tuondolee upuuzi wako hapa.

Back
Top Bottom