Watanzania wanaofanya PHD ujerumani hali zao mbaya sana na wanahitaji msaada haraka

ndo uozo wa serikali yetu huo...unatumia bilioni kadhaa lipumbavu unashindwa kuwalipia watanzania wenzetu their basic needs
 
kwa mwendo huu kusiwe na brain drain? Poleni sana wataalam wetu. Tumevunja rekodi ya makusanyo ya kodi kufikia bil 682 ila ndo hivyo tena. Zinavuja sana! Kuna kutu nyingi na matundu mengi sana kwenye bomba la pato la taifa. Tundu la ufisadi ndo linamaliza karibu pato lote, hata lile ambalo lingepaswa kuwafikia.
 
Embu hangaikeni hili la sukari 4500 jhuko kigoma mafuta lita 5000 tanzania hii hii
hao kama vipi wajilipue huku wala akuna issue tena na aata wakimaliza wanakuja kwenye matatizo tu kama wanasoma hili naamini nimewapa msaada mkubwa waende chooni wachane passport zao zote waflash choo kimoja'
then waende ubalozi wa un wadai wametoka kenya akfai kabisa alshababu wanaua kwa kwenda mbele wanaingia kambini safiiiiiiiiiiiiii perdiem per day nini wanataka tena hiyo shule itarudi tu wakiweka mambosawa
 
embu hangaikeni hili la sukari 4500 jhuko kigoma mafuta lita 5000 tanzania hii hii
hao kama vipi wajilipue huku wala akuna issue tena na aata wakimaliza wanakuja kwenye matatizo tu kama wanasoma hili naamini nimewapa msaada mkubwa waende chooni wachane passport zao zote waflash choo kimoja'
then waende ubalozi wa un wadai wametoka kenya akfai kabisa alshababu wanaua kwa kwenda mbele wanaingia kambini safiiiiiiiiiiiiii perdiem per day nini wanataka tena hiyo shule itarudi tu wakiweka mambosawa

yaani leo nimeamini kwamba picha zilizopo kwenye avatar zetu zinahusiano wa karibu sana akili zetu pamoja na upeo wa kufikiri kwetu. Kwani mchango wako kwenye hii thread ina utani mwingi sana ambayo hayawezi kuwasaidia waathirika pamoja na nchi yao kwa ujumla.

Si lazima utoe mchango kwenye kila thread inayoletwa hapa jf, kwani zingine zinahitaji mawzo makini na si kubeza na kuleta utani, ambayo inaweza kuletwa na huyo aliyeko kwenye avatar yako.
 
Back
Top Bottom