Watanzania waanza kununua petroli na dizeli nchini Zambia

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
Kwa mujibu wa VOA Swahili, Watanzania wa mipakani wameanza kuvuka mipaka na kwenda Zambia kununua mafuta (Petrol/Diesel)

Kumbuka hayo mafuta yamepita kwenye bandari yenu na kusafirishwa mpaka Zambia na matozo kibao.

Pesa ya kununua lita moja Tanzania ukienda Zambia unapata lita moja na nusu.

Je, Tanzania ni failed state?
 
Kama ni kweli inabidi tujitathimini kiukweli. Mwananchi kabanwa kila Kona, kiufupi no kupumua.
 
Pesa ya kununua lita moja Tanzania ukienda Zambia unapata lita moja na nusu.

Je, Tanzania ni failed state?
Haifiki moja na nusu mkuu! Nasikia lita moja ni kati ya 1800 na 1900 huko Zambia. Huku sababu za kupanda si Mwigulu ameshaambia kuwa ni uzalendo?

Wanataka sisi kuwa wazalendo huku wao wanaendelea kulipwa stahiki zao kubwa zisizotozwa kodi. Hawa jamaa wamepagawa
 
Zambia yote mafuta yao ni bei moja nchi nzima hazipishani ni sheria,

Petrol Kwacha 17.56 ( 1,756 T/ shs)

Diesel Kwacha 15,42 (1,542 T/ shs)

So magari yote ya binafsi including buses yaliyo karibu na border y anaingia Zambia kujaza mafuta, ila yakipungua foreigners car hawauziwi, ni Zambian cars only.
 
Hio ya kununua mafuta nchi jirani watz awakuanzia leo,wengi huduma ufata nchi jirani ni nafuu bora uvuke boda ukafanye shopping.watz wanavuka kununua sukari,mkate, sabuni,vifaa vya ujenzi nk.

Wa mpaka wao Wana nafuu ulinganisha bei hata wao vinavyopatikana kwao kwa bei juu mfano Vyakula uvuka boda.
 
Zambia yote mafuta yao ni bei moja nchi nzima hazipishani ni sheria,

Petrol Kwacha 17.56 ( 1,756 T/ shs)

Diesel Kwacha 15,42 (1,542 T/ shs)

So magari yote ya binafsi including buses yaliyo karibu na border y anaingia Zambia kujaza mafuta, ila yakipungua foreigners car hawauziwi, ni Zambian cars only.
NENDENI ILA DURING TAX AUDIT TRA HAWATA TAMBUA WATAOMBA EVIDENCE
 
Nilikuwa naangalia bei ya wese Uganda,Kenya na Rwanda kumbe sisi tuna afadhari. Hizi serikali za Afrika Mashariki ni nani aliwadanganya kuwa chanzo kikuu cha mapato iwe ni wese?
Tumekariri mdau yote hii baada ya kuona huko uarabuni uchumi wao unategemea mafuta na sie tumekariri humo humo.....
 
Kwa mujibu wa VOA Swahili, Watanzania wa mipakani wameanza kuvuka mipaka na kwenda Zambia kununua mafuta (Petrol/Diesel)...
Natamani namimi ningekuwa mpakani. Naenda kila weekend kujaza full tank then narudi bongo!
 
Hivi ni kiasi gani cha mafuta kinatosha kuchoma nyumba na ipi nzuri kati petrol/diesel
 
Back
Top Bottom