Watanzania tusubirie mabadiliko makubwa haya yasasa nimwanzo wa uchungu.

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,188
11,221
Nawapa pongezi viongoz shupavu ktk bunge letu walio simama kunyoosha kidole kwa serikali, Mungu azidi kuwabariki na kuwa maisha Marefu sana. Mungu anampango mzito na Taifa hili nahil ni lazima liwe wazi sana. Wale walio wezi na mafisadi mwisho wao umefika zile Arobaini zimefika, namsishangae kuona mawaziri, wakurugenz wakipandishwa kizimban nakufilisiwa. Yes wamewatia watanzania hasara nakuwafanya watanzania niwajinga. The end has come.
 
575254_198896006895647_100003257482531_315675_1077166740_n.jpg
 
Nawapa pongezi viongoz shupavu ktk bunge letu walio simama kunyoosha kidole kwa serikali, Mungu azidi kuwabariki na kuwa maisha Marefu sana. Mungu anampango mzito na Taifa hili nahil ni lazima liwe wazi sana. Wale walio wezi na mafisadi mwisho wao umefika zile Arobaini zimefika, namsishangae kuona mawaziri, wakurugenz wakipandishwa kizimban nakufilisiwa. Yes wamewatia watanzania hasara nakuwafanya watanzania niwajinga. The end has come.

Hakika ndugu, Mungu wetu anaita! Huu ni mwanzo, tena mdogo mno, lakini si wa kubezwa, ni cheche nzuri kuwasha moto, ni cheche kwa ajili ya machungu ya ukombozi. Jamani waafrika wenzangu wa Tanzania, tusidhanie kuwa ni mchezo rahisi kuleta mabadiliko, tujitoe kwa ajili ya watoto wetu, pia tusitarajie mtu kutufanyia, ila sisi wenyewe, kila mtu ana nafasi yake katika mabadiliko na aicheze sasa, tuzicheze effectively! Tusikimbie wala kukata tamaa pale machungu ya kuleta mabadiliko yanapoongezeka, kwani mwisho wake ni furaha ya kweli kwa watoto wetu! Tupite tu, kwani sisi ni sawa na dhahabu na moto! MAISHA NI FURAHA, KAMA HAIPO BASI NI UPUUZI MKUBWA, NA HAKUNA FURAHA YA MTU ILA WATU, NA FURAHA NI ILE YENYE MANTIKI YA UTU, yaani UPENDO. Mungu wetu anaita sasa, tuitike katika umoja na kuthubutu, yu tayari kutushindia. Sijawahi kuwa na furaha, hata yako haina msingi. Mungu wetu anaita!
 
Nawapa pongezi viongoz shupavu ktk bunge letu walio simama kunyoosha kidole kwa serikali, Mungu azidi kuwabariki na kuwa maisha Marefu sana. Mungu anampango mzito na Taifa hili nahil ni lazima liwe wazi sana. Wale walio wezi na mafisadi mwisho wao umefika zile Arobaini zimefika, namsishangae kuona mawaziri, wakurugenz wakipandishwa kizimban nakufilisiwa. Yes wamewatia watanzania hasara nakuwafanya watanzania niwajinga. The end has come.

Hoping for goodness is not even theologically sound. What am saying is that we shouldn't just sit and wait for goodness to come our way. With joint efforts let us fight even harder for this nation we love and for the prospect of our chilhren. Our good prayers will then complement our efforts.
 
Back
Top Bottom