Watanzania tunasubiri kuibiwa kuelekea uchaguzi mkuu 2025

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
12,319
12,622
Uchaguzi ni gharama kubwa sana kwa wagombea, vyama vya siasa na taifa kwa ujumla wake. Kupata pesa za kugharamia kupita kwenye kura za maoni, kupiga kampeni, kuchaguliwa, kulinda kura na kutangazwa kuwa mshindi ni bei kubwa sana.

Watanzania tunatarajia kusikia wizi au uhalalishaji wizi mkubwa kama ule wa Richmond, Escrow, IPTL, Meremeta, nk wakati wowote kuanzia sasa ili watu wapate fedha za kugharamia kampeni zao.

Mungu awalaani na vizazi vyenu kama mtatuibia tena.
 
Tunashangaa mpaka sasa bado hatujasikia wapi tumepingwa. Hata hivyo tayari nimesikia yule bwana IPTL anatakiwa kulipwa fidia, labda uchochoro utakuwa hapo!!
 
Hao waliokaba wengine katika picha 2020 nadhani kuna vitu wamejifunza kwa yaliyotokea Burkina Faso, Gambia nk hivyo 2025 sio rahisi kuyaona tena.
hechejohn___CBQtasfFO0H___.jpg
 
Kuna Mchangiaji nilimsoma hapa kwamba pamoja na yoooote lkn mambo yakavurugika, Nuru ikarejea. Kwa sasa mpango wa KUHAKIKISHA ushindi upo lkn si km vile. Uzuri sote tunajua finally kuna kufa. Yooote tutayaacha.
 
Hao waliokaba wengine katika picha 2020 nadhani kuna vitu wamejifunza kwa yaliyotokea Burkina Faso, Gambia nk hivyo 2025 sio rahisi kuyaona tena.View attachment 2816117
Tunaomba tuone bajeti za uchaguzi za wagombea na vyama vyao ili tulinganishe na matukio ya kwenye uchaguzi, na tuhoji fedha hizo zimetoka wapi na kwanani na zitarudishwaje. Ukipewa hela wakati wa kampeni jiulize ataziridishaje fedha zake.
 
Back
Top Bottom