Watanzania ni watu wa ajabu sana!, Wanamwaminije Gwajima kuliko Rais wao?

Wanabodi,
Ni ukweli usiofichika watu wana mwamini zaidi Mchungaji Gwajima na uongo wake kumhusu Makonda kuliko wanavyo mwamini rais wao na ukweli wake kuwa Makonda is clean, hajaghushi cheti chochote wala hajafoji jina! .

Kuna ule msemo usemao "you can fool some people for sometimes but you can't fool all the people all the time" ukimaanisha unaweza kuwadanga baadhi tuu ya watu kwa wakati fulani au kwa muda fulani tuu lakini huwezi kuwadanganya watu wote na kwa wakati wote au mara zote na siku zote, lakini Watanzania ni watu wa ajabu kweli, unaweza kuwadanganya wote wakati wote!. (Taking JF as sampling ya Watanzania wote).

Kwa muda mrefu nimekuwa nikijiuliza hili swali "how does it come the same people wanachaguliwa katika chaguzi mbalimbali kwa kuja na ahadi kem kem, mwisho wa siku, wanashindwa kuzitekeleza, na bado wanawarudia na ahadi nyingine kem kem na mnawachagua tena? . Yaani wanawadanganya all the people all the time na bado tunawachagua?. Kipindi cha uchaguzi niliwahi kuuliza swali hili, sikupata majibu ya kuridhisha.

Hii kadhia ya Mkuu wetu wa Mkoa kusingiziwa uongo, imenifundisha kitu. Watanzania ni watu wa ajabu sana, ni warahisi kudanganyika na wepesi wa kusahau.

Juzi kati Mchungaji Gwajima aliibuka na uongo wa mchana kweupe na kumsingizia Makonda ameiba jina la Paul Christian, na ameghushi vyeti vya Paul Christian kujifanya ndio yeye na akafoji kuvitumia kusomea chuo kikuu na kupata ajira ukiwemo uteuzi wa rais wa JMT kuwa DC na sasa ni RC. Mchungaji Gwajima akadai kuwa jina halisi la Makonda ni Daudi Albert Bashite. Uongo huo haukuishia hapo bali alidai kuwa anavyo vyeti vya Daudi Bashite vinavyoonyesha alipata Division 0 na pia anavyo vyeti vya Paul Christian ambavyo Daudi Bashite aliviiba na kuvitumia kama vyake.

Baadhi ya sisi wenye imani haba, kama Tomato tulionyesha kutomwamini Mchungaji Gwajima kwa kumuita ni muongo hadi pale atakapoonyesha hivyo vyeti tuvione ndipo tuamini.

Kitu cha ajabu sana Watanzania wengi wamemwani Gwajima, hivyo sio tuu kumtaka Makonda aonyeshe vyeti vyake bali hadi kushinikiza ajiuzulu au atumbuliwe! . Ajiuzulu kwa kosa lipi au atumbuliwe kwa lipi? .

Gwajima ni Muongo.
Kitendo cha kuhubiri uongo na kudanganya kuwa una ushahidi lakini huutoi huo ushahidi ni uthibitisho tosha ule ulikuwa ni uongo tuu wa mchana kweupe.

Bahati yake Makonda sio tuu ni Msukuma ambapo Wasukuma hawana makuu na wana madharau sana, hivyo amemdharau, bali pia Makonda ni Mlokole hivyo amemshtakia kwa Mungu, akalia machozi madhabahuni na kusamehe.

Kwa Nini Gwajima ni Muongo? .
Kiongozi yoyote kabla ya kuteuliwa na rais, hufanyiwa vetting hivyo vyombo vya serikali vinazo taarifa zote sahihi kumhusu Makonda.

Sasa tangu kutolewa kwa uongo huu, ungekuwa na ukweli hata chembe, tungeshuhudia hatua zikichukuliwa dhidi ya udanganyifu huu.

Kitendo cha mpaka sasa hakuna hatua zozote zilizo chukuliwa dhidi ya Makonda ni uthibitisho kuwa vetting ilifanyika vizuri, jina la Paul Christian Makonda ni jina lake halisi, Mkuu wetu wa Mkoa wa Dar es Salaam. Na vyeti vyake ni vyeti vyake halisi ambavyo viko kwenye mamlaka yake ya uteuzi, hivyo Paul Makonda hapaswi kumuonyesha mtu yoyote vyeti vyake ili tuu kujibu uongo wa Gwajima.

Sisi Watanzania wote katika umoja wetu ndio tuliomchagua kwa kura nyingi, Dr. John Pombe Magufuli awe rais wetu, kama rais wetu amemwamini Makonda, who is Gwajima kutuletea uongo na kuuamini.

Wewe ambaye unajiita ni Mtanzania mzalendo, unawezaje kumwamini Gwajima kuliko unavyo mwamini rais wako?!.

Nikikuuliza kati ya uongo wa Gwajima kuwa Paul Makonda ni Daudi Bashite na ukweli wa rais Magufuli kuwa Paul Makonda ni Paul Makonda ndio maana mpaka sasa ndiye Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, unamwamini nani? .

Shuhudia katika bandiko hili jinsi Watanzania walivyo watu wa ajabu, yaani wanamwamini Mchungaji Gwajima kuliko hata rais wao?! .

Utafiti na Sampling ya Watanzania.
Utafiti huu uko based on jf sampling kuwatumia wana jf kama cross section ya ya Watanzania wote. Ukipandisha bandiko lolote kumtetea Makonda, posts za kukupinga ni nyingi kuliko posts za kukuunga mkono.

Huu ni uthibitisho kuwa sisi Watanzania we don't think, na ndio maana hata kwenye chaguzi zetu, hatuchagui kwa kufanya reasoning bali tunajichagulia tuu alimradi kwa kufuata mkumbo!.

When can we start to think and reason kabla hatujaendelea kudanganywa tena na tena na tena?!. Yaani hapa wamedanganywa na Gwajima na wameamini badala ya kushikamana ukweli halisi wa rais wao kwa mteule wake ni mtu safi kabisa, hajafoji jina lolote wala kughushi cheti chochote?.

Paskali.
Suala sio kuaminika kwa Gwajima suala mbona rahisi sana? Ni kuonyesha vyeti tu
 
Hakika subira huniongoza, ninaamini mda ukifika gwajima ataumbuka vibaya sana. Sijui familia yake itaamia msikitini ama Freemason.
 
Pascal unacheza na maneno vyema sana

tatizo akina Bashite's hii 'ngeli' haipandi...

Lenga goli
 
Sheria ya Ushahidi ipo wazi, anayetuhumu ndiye mwenye jukumu la kuthibitisha....sasa mnatuhumu then mnaomba mtuhumiwa athibitishe au raisi achukue hatua.......haiwezekani...aliyetuhumu aweke vyeti...then Makonda atapaswa ajibu...lakini akijibu sasa atakuwa mjinga hata kama kweli....
 
Ni ajabu na vibaya mtu kutoa kauli kama hii hadharani hasa kwenye hili jukwaa. You looks you're not a critical thinker kwanini uwatuhumu watanzania wote??? Kibaya zaidi yamkini na wewe ni mtanzania kwa hiyo na wewe ni wa ajabu ndo maana umeleta post ya ajabu, Sema wewe ndo wajabu lakini sio Watanzania.
 
Wewe ni mheshimiwa rc mkuu? Mbna unamjibia au kutaka kuaminisha uma kuwa vyeti havijafojiwa.mi nadhani ni matter ya rc mwenyew..wala we usihangaike kutetea,ukweli kama upo siku zote hujitenga na uwongo.so bora mkuu ukae kimya otherwise una uhakika hilo halipo bhasi hata usihofie kaa kimya tu mkuu waache watyu watz waseme yao ya moyoni hata kama ni uwongo.
 
Paskall ni mpuuzi wa kimataifa usijipendekeze kupita kiasi kumtetea makonda gwajima ni msukuma zaidi yako nawatoka sehemu moja na makonda.Kama anavyo veti atoe,gwajima ni mkweli kuliko aliyemteua makonda.
 
Raisi naye ni mwanadamu , lakini Kama Gwajima ni mtumishi wa Mungu na sisi tunaamini kuwa Mungu hukaa ndani yetu he si zaidi sana kumuamini mtumishi wa Mungu
 
Wanabodi,
Ni ukweli usiofichika watu wana mwamini zaidi Mchungaji Gwajima na uongo wake kumhusu Makonda kuliko wanavyo mwamini rais wao na ukweli wake kuwa Makonda is clean, hajaghushi cheti chochote wala hajafoji jina! .

Kuna ule msemo usemao "you can fool some people for sometimes but you can't fool all the people all the time" ukimaanisha unaweza kuwadanga baadhi tuu ya watu kwa wakati fulani au kwa muda fulani tuu lakini huwezi kuwadanganya watu wote na kwa wakati wote au mara zote na siku zote, lakini Watanzania ni watu wa ajabu kweli, unaweza kuwadanganya wote wakati wote!. (Taking JF as sampling ya Watanzania wote).

Kwa muda mrefu nimekuwa nikijiuliza hili swali "how does it come the same people wanachaguliwa katika chaguzi mbalimbali kwa kuja na ahadi kem kem, mwisho wa siku, wanashindwa kuzitekeleza, na bado wanawarudia na ahadi nyingine kem kem na mnawachagua tena? . Yaani wanawadanganya all the people all the time na bado tunawachagua?. Kipindi cha uchaguzi niliwahi kuuliza swali hili, sikupata majibu ya kuridhisha.

Hii kadhia ya Mkuu wetu wa Mkoa kusingiziwa uongo, imenifundisha kitu. Watanzania ni watu wa ajabu sana, ni warahisi kudanganyika na wepesi wa kusahau.

Juzi kati Mchungaji Gwajima aliibuka na uongo wa mchana kweupe na kumsingizia Makonda ameiba jina la Paul Christian, na ameghushi vyeti vya Paul Christian kujifanya ndio yeye na akafoji kuvitumia kusomea chuo kikuu na kupata ajira ukiwemo uteuzi wa rais wa JMT kuwa DC na sasa ni RC. Mchungaji Gwajima akadai kuwa jina halisi la Makonda ni Daudi Albert Bashite. Uongo huo haukuishia hapo bali alidai kuwa anavyo vyeti vya Daudi Bashite vinavyoonyesha alipata Division 0 na pia anavyo vyeti vya Paul Christian ambavyo Daudi Bashite aliviiba na kuvitumia kama vyake.

Baadhi ya sisi wenye imani haba, kama Tomato tulionyesha kutomwamini Mchungaji Gwajima kwa kumuita ni muongo hadi pale atakapoonyesha hivyo vyeti tuvione ndipo tuamini.

Kitu cha ajabu sana Watanzania wengi wamemwani Gwajima, hivyo sio tuu kumtaka Makonda aonyeshe vyeti vyake bali hadi kushinikiza ajiuzulu au atumbuliwe! . Ajiuzulu kwa kosa lipi au atumbuliwe kwa lipi? .

Gwajima ni Muongo.
Kitendo cha kuhubiri uongo na kudanganya kuwa una ushahidi lakini huutoi huo ushahidi ni uthibitisho tosha ule ulikuwa ni uongo tuu wa mchana kweupe.

Bahati yake Makonda sio tuu ni Msukuma ambapo Wasukuma hawana makuu na wana madharau sana, hivyo amemdharau, bali pia Makonda ni Mlokole hivyo amemshtakia kwa Mungu, akalia machozi madhabahuni na kusamehe.

Kwa Nini Gwajima ni Muongo? .
Kiongozi yoyote kabla ya kuteuliwa na rais, hufanyiwa vetting hivyo vyombo vya serikali vinazo taarifa zote sahihi kumhusu Makonda.

Sasa tangu kutolewa kwa uongo huu, ungekuwa na ukweli hata chembe, tungeshuhudia hatua zikichukuliwa dhidi ya udanganyifu huu.

Kitendo cha mpaka sasa hakuna hatua zozote zilizo chukuliwa dhidi ya Makonda ni uthibitisho kuwa vetting ilifanyika vizuri, jina la Paul Christian Makonda ni jina lake halisi, Mkuu wetu wa Mkoa wa Dar es Salaam. Na vyeti vyake ni vyeti vyake halisi ambavyo viko kwenye mamlaka yake ya uteuzi, hivyo Paul Makonda hapaswi kumuonyesha mtu yoyote vyeti vyake ili tuu kujibu uongo wa Gwajima.

Sisi Watanzania wote katika umoja wetu ndio tuliomchagua kwa kura nyingi, Dr. John Pombe Magufuli awe rais wetu, kama rais wetu amemwamini Makonda, who is Gwajima kutuletea uongo na kuuamini.

Wewe ambaye unajiita ni Mtanzania mzalendo, unawezaje kumwamini Gwajima kuliko unavyo mwamini rais wako?!.

Nikikuuliza kati ya uongo wa Gwajima kuwa Paul Makonda ni Daudi Bashite na ukweli wa rais Magufuli kuwa Paul Makonda ni Paul Makonda ndio maana mpaka sasa ndiye Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, unamwamini nani? .

Shuhudia katika bandiko hili jinsi Watanzania walivyo watu wa ajabu, yaani wanamwamini Mchungaji Gwajima kuliko hata rais wao?! .

Utafiti na Sampling ya Watanzania.
Utafiti huu uko based on jf sampling kuwatumia wana jf kama cross section ya ya Watanzania wote. Ukipandisha bandiko lolote kumtetea Makonda, posts za kukupinga ni nyingi kuliko posts za kukuunga mkono.

Huu ni uthibitisho kuwa sisi Watanzania we don't think, na ndio maana hata kwenye chaguzi zetu, hatuchagui kwa kufanya reasoning bali tunajichagulia tuu alimradi kwa kufuata mkumbo!.

When can we start to think and reason kabla hatujaendelea kudanganywa tena na tena na tena?!. Yaani hapa wamedanganywa na Gwajima na wameamini badala ya kushikamana ukweli halisi wa rais wao kwa mteule wake ni mtu safi kabisa, hajafoji jina lolote wala kughushi cheti chochote?.

Paskali.
Hatuwezi kumuamini huyo raisi wako alisha tudanganya kuwa Sadam Hussein ni Rais Wa Kuwait mpaka Leo hajakanusha sembuse hivyo vyeti vya bashite asidanganye?

Weka vyeti hapa hatutaki maneno ya kwenye kanga kwani alie lie makanisani wakati Kama vyeti anavyo si avitoe?
 
Ama nawe,unataka watz wasimwamini gwajima.then why tukuamini wewe? Bhasi nadhan watu wanasubiri,rais aseme then ndo watamwamini yeye.ulichokiandika kwakweli,unakielewa mwenyew mkuu.
 
Asante Sana paschal.. Hawa walliotekwa na Mchungaji ni wazembe fulani na hakika hawatafika Mbinguni wasipotubu hii dhambi.. Nakushauri Achana na hii habari Kwa KUWA hakuna lolote litatokea.. Hata wapige kelele mpk mwakani hawawezi kuwa na nguvu ya kumtoa U RC.. Achana nao ikibidi tuwashauri wakaanze kusali huko kwenye hayo makanisa maana jini walilotupiwa linashangaza.. Nimeshangaa zaid kufika home ETI mabinti fulani tunaishi nao wote wamegeuka wanamsikiliza Gwajima clips zake Kutwa Nzima. Yaani sijui ni uchawi wa wapi.. Ee MUNGU tusaidie Sana hiki kipindi hii vita kweli ni ya kiroho.. Magufuli ingilia Kati mimi nisingekubali baadhi ya watu wapotoshe watu wengi asee ningetumia hata udikteta
 
Gwajima ni mtu anayeongoza watu kiimani na mkuu wa kaya anaongoza watu kimwili, kwa hiyo Gwajima anasema ukweli kuliko mkuu wa kaya
 
Hili bandiko lako halifanani na akili uliyoitumia kumuuliza Rais lile swali lako. Hii unaonesha kuwa dhaifu sana ktk kuchanganua mambo.
 
Wakati wa kampeni ya ushauli kabla hajawa RaisBarack Obama. liliibuka kundi likimchafua. Kuwa yeye si raia wa MArekani. Ili kukata Mzizi wa fitina alitoa birth certificate haraka. Hoja ya wapinzani ikawa nyepeeesi. Sasa huyu mtu mnayemtetea kinamshinda nini. Ashukuru ni kiongozi ktk hizi nchi mtu akichaguliwa yeye ndo anakuwa bwana mkubwa kuliko waliomchagua. Zi gelikuwa nchi za wenzetu siku ya pili tu baada ya tuhuma hizi mwenyewe angelazimika kujiuzuru kupinda heshima ya mtu aliyemteua. Lkn bado najua wabunge hususa yule alikuwa Msukuma atamaliza shughuli. Hawezi kusimamia zoezi LA kuhakiki vyeti kwa wa fanya kazi unaona ongeza ili Hali mwenyewe una walakini kwenye Hilo Hilo. Nyambafuuu
 
Sema CHADEMA siyo watanzania wote. ama at the very least sema baadhi ya watanzania
Well said.,,huwo msemo wa kusema 'watanzania watanzania hiki au kile unaniudhi sana sana!
 
Back
Top Bottom