Watanzania, ni wakati sasa wa kumtafuta mtu mahiri wa kulikomboa Taifa

Taifa linapita gizani kana kwamba hakuna watu wanaoweza kulifikisha mahali pazuri kabisa tena kwa muda mfupi tu.

Taifa linaangamia kanakwamba halina wasomi wanaoweza kulifanya transformation.

Kiongozi anayeweza kulifanyia transformation Taifa

IV. Awe tayari hata kupoteza Maisha yake kwa ajili ya kuzikomboa na kuzilinda Rasilimali za Nchi yetu(Kama alivyokuwa JPM)
Huyo JPM alilinda raslimali gani? Au umesahau ule uwendawazimu wake wa kujenga miundombinu mikubwa kijijini kwake Chato? Sasa ile Airport imebakia ni sehemu ya popo kunyea mavi usiku tu
 
JPM anaingia kwenye uzalendo na ujasiri wa kutotishwa na mtu yeyote. Lakini pia anaingia kwenye kuwa tayari hata ikibidi kutolewa uhai wake ili mradi tu anasimamia anachokiamini.

Watu wa namna hii ni wachache sana Duniani.
 
January makamba
Nape
Yule wa kilimo
Mkenda
Mwigulu
Wanaweza
 
Hilo genge la majambazi lilivyojipanga kulitafuna taifa sio kazi rahisi Mkuu. Wameshikilia kila eneo na kuyatumia kwa ajili ya genge lao ni cartel ya hatari sana kuwahi kutokea. Even kujaribu ku-question au ku-comment ni hatari kwa maisha yako.
Uko sahihi mkuu. Ila watanzania tulikosea sana kuachia nchi kuingia kwenye mikono ya watu kama hawa. Tusishangae kusikia Amber Rutu kawa waziri kesho. Huyu mama ana viwango wa chini kweli kweli kwenye teuzi zake. Ni hawa akili ndogo wanaofuatilia wasanii feki wa kwenye mitandao na anawapenda kweli kweli. Tanzania sasa uadilifu na uchapa kazi siyo sifa tena ya kuchaguliwa. Ukiwa muuza sura kwenye mitandano unaonekana wewe ndiye bonge la kiongozi.
 
Wengine tuandae waje baada ya miaka 20.
Watz tutakuwa 140milions
itabidi kugawa majimbo na mikoa kutengeneza nchi mbili
Kask & kus
Mpooo
 
President: Kassim Majaliwa
P/M : Luhaga Mpina
V/P: Tutafuteni mtu aliye tayari kuongoza just in case likitokea la kutokea.
Fedha: Philip Mpango
Philipi Mpango ni babu jinga. Hana karama za uongozi. Majaliwa low IQ. Luhanga simjui ila kiongozi akitokea CCM siyo rahisi kuleta mabadiliko. CCM imeshaishiwa, inatakiwa iondoke tuanze upya.
 
Taifa linapita gizani kana kwamba hakuna watu wanaoweza kulifikisha mahali pazuri kabisa tena kwa muda mfupi tu.

Taifa linaangamia kanakwamba halina wasomi wanaoweza kulifanya transformation.

Kiongozi anayeweza kulifanyia transformation Taifa hili ni yule:-

I. Mwenye akili kubwa, aliyefanya mitihani yake vizuri alipokuwa anasoma katika ngazi mbalimbali za Elimu.

II. Jasiri na Mzalendo wa kweli kwa kiwango cha juu kisichotiliwa shaka na Watanzania wengi.

III. Mchapakazi na mwenye msimamo usioyumba hasa pale anapotaka kufanya jambo kubwa lenye manufaa kwa Nchi.

IV. Awe tayari hata kupoteza Maisha yake kwa ajili ya kuzikomboa na kuzilinda Rasilimali za Nchi yetu(Kama alivyokuwa JPM)

Ni muhimu kuwapata watu angalau kumi hivi wenye sifa hizo hapo juu ili waweze kupokezana kijiti. Yaani akianza huyu anafuata mwingine wa kipimo kile kile.

Vinginevyo, tutaendelea kushuhudia MAJIZI, MAFISADI, WALARUSHWA wakiendelea kugawana Rasilimali za Nchi bila sisi kufaidi hata kidogo.
Hili taifa wala halihitaji neno mzalendo wa kweli binadamu ana akili sana binadamu huyohuyo ni mvivu wa kufikiri pia hujitoa ufahamu kwa kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwa kujipendekexa, kwa mabosi wake, unafiki na kutumikia kundi fulani hatakama jambo hilo halina masilahi kwa taifa na kizazi kijacho tumefika hapa tulipo kwa kudumazwa akili za kuto kuhoji na wale wanao jaribu kuhoji wanaambiwa wahoji kwa staha mwizi wa pesa nyingi mwite fisadi , Herding behavior,(unyumbu) , Herding behavior is defined by IPYANA HARABA as an occurrence of entrusted people suspending their individual reasoning because of flattering of their bosses and manipulation or in favor of group objectives,(conflict of interest),and fear in reality though herding behavior is catalyze by Ostracism .Kwakifupi watu wameanza kupata akili ukipata tatizo uwezo wako wa kumbukumbu huongezeka na kuweza kutatua matatizo yako vuta picha ukipata tatizo jinsi unavyokuwa na uwezo wa kulitatua hatakama linahitaji pesa nyingi hupatikana kwa uvivu wa huyu binadamu kifikiri akishalitatua tatizo lake matako hulia mbwata
 
Philipi Mpango ni babu jinga. Hana karama za uongozi. Majaliwa low IQ. Luhanga simjui ila kiongozi akitokea CCM siyo rahisi kuleta mabadiliko. CCM imeshaishiwa, inatakiwa iondoke tuanze upya.
Unamwambia nn kinana
 
Taifa linapita gizani kana kwamba hakuna watu wanaoweza kulifikisha mahali pazuri kabisa tena kwa muda mfupi tu.

Taifa linaangamia kanakwamba halina wasomi wanaoweza kulifanya transformation.

Kiongozi anayeweza kulifanyia transformation Taifa hili ni yule:-

I. Mwenye akili kubwa, aliyefanya mitihani yake vizuri alipokuwa anasoma katika ngazi mbalimbali za Elimu.

II. Jasiri na Mzalendo wa kweli kwa kiwango cha juu kisichotiliwa shaka na Watanzania wengi.

III. Mchapakazi na mwenye msimamo usioyumba hasa pale anapotaka kufanya jambo kubwa lenye manufaa kwa Nchi.

IV. Awe tayari hata kupoteza Maisha yake kwa ajili ya kuzikomboa na kuzilinda Rasilimali za Nchi yetu(Kama alivyokuwa JPM)

Ni muhimu kuwapata watu angalau kumi hivi wenye sifa hizo hapo juu ili waweze kupokezana kijiti. Yaani akianza huyu anafuata mwingine wa kipimo kile kile.

Vinginevyo, tutaendelea kushuhudia MAJIZI, MAFISADI, WALARUSHWA wakiendelea kugawana Rasilimali za Nchi bila sisi kufaidi hata kidogo.
Akitokea Jeshoni itakianpoa sana
 
Kinana, jk naona mmerudisha majesh yenu nyuma.
Sawa. Jipangeni
"Massoro & Diwani" Academy ilete vijana wazuri.
Siwa anamalizia

Kazi iendelee
By 2040 tutakuwa 160m
 
Taifa linapita gizani kana kwamba hakuna watu wanaoweza kulifikisha mahali pazuri kabisa tena kwa muda mfupi tu.

Taifa linaangamia kanakwamba halina wasomi wanaoweza kulifanya transformation.

Kiongozi anayeweza kulifanyia transformation Taifa hili ni yule:-

I. Mwenye akili kubwa, aliyefanya mitihani yake vizuri alipokuwa anasoma katika ngazi mbalimbali za Elimu.

II. Jasiri na Mzalendo wa kweli kwa kiwango cha juu kisichotiliwa shaka na Watanzania wengi.

III. Mchapakazi na mwenye msimamo usioyumba hasa pale anapotaka kufanya jambo kubwa lenye manufaa kwa Nchi.

IV. Awe tayari hata kupoteza Maisha yake kwa ajili ya kuzikomboa na kuzilinda Rasilimali za Nchi yetu(Kama alivyokuwa JPM)

Ni muhimu kuwapata watu angalau kumi hivi wenye sifa hizo hapo juu ili waweze kupokezana kijiti. Yaani akianza huyu anafuata mwingine wa kipimo kile kile.

Vinginevyo, tutaendelea kushuhudia MAJIZI, MAFISADI, WALARUSHWA wakiendelea kugawana Rasilimali za Nchi bila sisi kufaidi hata kidogo.
Mkombozi wa Taifa letu atatoka nje ya CCM
 
"IV. Awe tayari hata kupoteza Maisha yake kwa ajili ya kuzikomboa na kuzilinda Rasilimali za Nchi yetu(Kama alivyokuwa JPM)"

Unaongea kirahisi tu kwa kuwa upo na keyboard
 
Taifa linapita gizani kana kwamba hakuna watu wanaoweza kulifikisha mahali pazuri kabisa tena kwa muda mfupi tu.

Taifa linaangamia kanakwamba halina wasomi wanaoweza kulifanya transformation.

Kiongozi anayeweza kulifanyia transformation Taifa hili ni yule:-

I. Mwenye akili kubwa, aliyefanya mitihani yake vizuri alipokuwa anasoma katika ngazi mbalimbali za Elimu.

II. Jasiri na Mzalendo wa kweli kwa kiwango cha juu kisichotiliwa shaka na Watanzania wengi.

III. Mchapakazi na mwenye msimamo usioyumba hasa pale anapotaka kufanya jambo kubwa lenye manufaa kwa Nchi.

IV. Awe tayari hata kupoteza Maisha yake kwa ajili ya kuzikomboa na kuzilinda Rasilimali za Nchi yetu(Kama alivyokuwa JPM)

Ni muhimu kuwapata watu angalau kumi hivi wenye sifa hizo hapo juu ili waweze kupokezana kijiti. Yaani akianza huyu anafuata mwingine wa kipimo kile kile.

Vinginevyo, tutaendelea kushuhudia MAJIZI, MAFISADI, WALARUSHWA wakiendelea kugawana Rasilimali za Nchi bila sisi kufaidi hata kidogo.

Watanzania hao unao ongea nao kwanza waamke kutoka usingizini. Wako busy na trivial things lakini likija suala la kitaifa hawataki kushiriki halaf baadae wanalaumu mambo yanapokwenda hovyo
 
Back
Top Bottom