MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 31,784
- 48,727
Kwenye msiba wa mzee Mkapa, kwa majirani zenu wote, Burundi tu ndiye alijitutumua kutuma ujumbe, sisi Wakenya tulituma japo ikasemekana mliwafukuza na kusingizia hali ya hewa, Malawi hakuja mtu, Zimbabwe hakuja mtu, Zambia kimya, Mozambique wala hata mmoja, Rwanda ndio chali kabisa, Bakongo/DRC nje nje, Uganda hakua hata na habari.
Afrika Kusini kule ambao huwa mnajipendekeza na kuwashobokea hawakuthubutu, SADC yote kimya.
Afrika yote, Ulaya, Uarabuni, Bara Asia kote kote hakuna aliyenyanyua kichwa.
Mkae na kutafajari sana na kujiuliza wapi mlijikwaa hadi dunia inawatenga na kuwatelekeza hata kwenye msiba wa kiongozi aliyeheshimika sana duniani. Mna mazoea ya kuilaumu Kenya katika masaibu yenu yote na kulialia, ila hamkai na kujiuliza ilipo kasoro yenu, kutwa povu tu na kuchimba mikwara.
Leo hii Tanzania imepigwa alama nyekundu kwa wasafiri wote wanaotokea huko, pasipoti ya Tanzania inawasha taa nyekundu hata Uarabuni, angalia hii link mumetajwa ndani ya mataifa 12 ambayo yanasemekana kuwa hatari, na hii mtalaumu Kenya
Emirates passengers from these 12 countries now need to undergo Covid-19 tests before flying