KOLOKOLONI
JF-Expert Member
- Mar 7, 2014
- 2,477
- 2,361
Hakuna waislam wala wakristo tanzania hao wazugaji tu wote tunaamini matambiko na mizimu.
Hakuna sababu ya kubisha mkuu yericko,rekebisha maelezo yako ktk utafiti wako wenye utata
Omba m/mungu(Allah) akuongoze kabla haujafa vinginevyo utaenda pabaya
kwani kutoamini Mungu,Mtume au Jah ndo uchawi?
Dini za jadi (34.3%), Ukristo (33.5%), Uislamu (31.4%), wengineo (0.8%)
Takwimu hizi zinaweza kuwa hazina maana lakini zinatoa taswira ya imani za Watanzania.
na ndo kinachoboa,mtu anakuwa na maana pana kichwani kwake,halafu anaandika kitu kingine tofautiKweli mkuu inamaana pana kichwani kwake!
kwanini?kutoamini ALLAH ni zaidi ya uchawi!!!!!!!
kutoamini ALLAH ni zaidi ya uchawi!!!!!!!
Jadi (i.e., kutoamnini dini za kimashariki na za kimagharibi) = uchawi? Not necessarily.
Watu wapuuzi sana eti kuwa na fikra za kitumwa eti wanamuabudu mungu. Dini ni sehemu tu ya tamaduni hivyo hata afrika tanzania tunazo tamaduni zetu. Iweje tamaduni za kiafrika uziite uchawi? Kuamini dini za kiarabu na kizungu au nje ya imani ya mwenye asili ya africa ni utumwa wa fikra. Kama kuamini imani za kiafrika ni uchawi okey basi mimi ni mchawi namba moja na siamini bibilia wa qurani zaidi ya kufanya matambiko ya kila mwaka na mambo yangu yananyoka.

Very weird thread. Anyways let me teach you a little .......Dini za jadi (34.3%), Ukristo (33.5%), Uislamu (31.4%), wengineo (0.8%)
Takwimu hizi zinaweza kuwa hazina maana lakini zinatoa taswira ya imani za Watanzania.
Dini za jadi (34.3%), Ukristo (33.5%), Uislamu (31.4%), wengineo (0.8%)
Takwimu hizi zinaweza kuwa hazina maana lakini zinatoa taswira ya imani za Watanzania.
You must be uninformed!!kutoamini ALLAH ni zaidi ya uchawi!!!!!!!