Watangazaji wanawahoji mabilionea

BabaMorgan

JF-Expert Member
Dec 18, 2017
4,050
10,495
Millard Ayo ametoka Dar es salaam mpaka Babati kumhoji Bilionea Mulokozi hii ni win win situation kwa maana Millard Ayo kaongeza contents kwenye mitandao wake the same Mulokozi kaongeza wigo wa kutambulika hususani kwenye biashara ya vileo anayofanya.

Najaribu kufikiria kwa sauti kinachotokea baada ya interview ni kuwa wanaweza kuwa wanapewa mzigo mkubwa kama shukurani fulani ndio maana Millard Ayo licha ya kuwa na wawakilishi TZ nzima kaamua atimbe mwenyewe kwa tajiri Mulokozi maana anajua maokoto atakayo yakusanya yatamsogeza pahala.

Big up sana Millard Ayo una deserve unafanya kazi nzuri everybody kwenye hii nchi ana appreciate kazi zako.
 
Ingependeza ungeongezea mulokozi ni mmiliki wa vileo ya pombe ipi? Itasaidia kuupa uzi nguvu
Mtengenezaji wa pombe ngumu mfanano na Konyagi anaproduce vileo vya aina kama sita majina nimeyasahau. Kubwa ni Jumba lake la kifahari
 
Mtengenezaji wa pombe ngumu mfanano na Konyagi anaproduce vileo vya aina kama sita majina nimeyasahau. Kubwa ni Jumba lake la kifahari
Shukran najua cuca, kisungura na leaders kimoja hakikosi hapo maana ndio vinauwa vijana arusha huku
 
Back
Top Bottom