Watanganyika mnatuharibia Zanzibar

Muungano wetu hautavunjwa na wagonjwa wa akili ka weye. Ati kaibiwa sim, akakupigia ukachukia. Kweli mambo mengine, tafuteni kona nyingine.
Kuibiwa sim tu, tayari muungano uvunjwe. Kila Mtanganyika aondoshwe huko kwenyu kwa sababu jamaa yako weye kaibiwa sim. Ilikuwa na siri za muungano nini?? Yaani kwa mawazo yako mazuri hivyo waona kuwa muungano huu mtukufu ukivunjika leo, kesho asubuhi utaipata hiyo simu??
Aksante tumekusikia na kabla ya mwaka huu muungano hautakuwepo ili sim yako irudishwe. Ikirudi, tutaanza tena mchakato wa kuurudisha.
soma maelezo vizuri ili ufahamu, mimi sijasema muungano uvunjike, nimesema watanganyika wasio kazi waondoshwe zanzibar mnatuchafulia hatutaki,
 
Na vitendo vya kuwaingilia mabinti kinyume na maumbile mmefundishwa na watanganyika?huoni hata video za nyimbo za wasanii wenu zinavyotia aibu?
 
Mwenzangu labda atusaidie na wale mashoga waliojaa kibao tena wazanzibar nao tumewaharibu sie n a mombasa pia wapo neno nataka nikusaidie mlee mwanao katika njia impasayo nae hataiacha mpaka uzeeni , wazazi siku ya kiama tuna cha kujibu kwa kuwalea watoto njia zisizo sahihi mpaka kuwa kama wanyama malezi mabovu ndio yanaaribu watoto.
mashoga ao umewaona wapi kama na wewe humo
 
Na sisi watanganyika tumechoka na tabia chafu za wazanzibar!Haiwezekani wanaume watu wazima wagombane na kupigana na wanawake wakigombea wanaume!

Msituletee ustaarabu wenu mbovu wa Zenj huku bara!

HATUUTAKI!
acha kutunga watanganyika wengi hawatakiwi na wanawake kutoka zanzibar, uko bara na sisi tumepita mademu wanatukubali lakini nyinyi ni nadra sana kukubalika na wanawake kutoka zenj
 
We mshenzy hebu jitazame hiyo ngozi yako halafu uione ina utofauti gani na hao unaowaita Watanganyika???

Warogwa wewe!!!
umekuuma ukweli sio, haijaalishi ni ngozi aina gani tunaongea tabia, halafu ni vizuri umekuja ntakuuliza, hivi watu8 hawa machinga mbona wadogo hakuna shule za kuwasomesha uko? hawana wazazi uko? inakuwaje mtu anamuacha mwanawe aje kufanya wizi huku?
 
Last edited by a moderator:
Acha ubaguzi wewe, juzijuzi tu tulionyeshwa list ya wadau wakubwa wa madawa ya kulevya, wazenj kibao wamo!!
 
Hawa wazanzibar wabinafsi alafu wanahisi kama sie tunashida sana na huo muungano kuliko wao..mwenyewe sioni wa faida gani siwapendi kama nini.yapo mengi yamejazana bara yana njaa kama nini..midomo mirefu tuu ya kuongea kama chiriku ndo wamejaaliwa
 
Back
Top Bottom