Watakao kuwepo kwenye tume ya kuratibu katiba mpya

jino kwa jino

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
783
170
Hivi majuzi tumemsikia mheshimiwa Rais Dr JK akisema ataunda tume makini kuratibu mchakato wa kupata katiba mya, je hii tume inapaswa kuwa na watu gani?

nawakilisha
 
Tume feki sura ni zile zile,

Kutoka kwa mwizi wa kura yule yule,

wakoloni ngozi nyeusi wale wale,

vibaraka wale wale,

Hao hao waliowahi kutuhumiwa.

Sitaji hata mmoja,maana ni wale wale
 
Hivi majuzi tumemsikia mheshimiwa Rais Dr JK akisema ataunda tume makini kuratibu mchakato wa kupata katiba mya, je hii tume inapaswa kuwa na watu gani?

nawakilisha

ridhiwani, january, salma, vicky, na wale vijana wa THT
 
Hivi majuzi tumemsikia mheshimiwa Rais Dr JK akisema ataunda tume makini kuratibu mchakato wa kupata katiba mya, je hii tume inapaswa kuwa na watu gani?

nawakilisha

mkuu.. kuratibu katiba......?..... huko bado ...... ni hivi... constitution review commission..., tume ya kupitia katiba....
 
werema, makamba, hawa ghasia, wilson kabwe, lowassa, mungai, mramba, bila kumsahau mzee malecela
 
Back
Top Bottom