Wataka dini itambuliwe kama mhimili wa dola

Ukiona mtu anadhani maendeleo ya yataletwa na wajomba kama OIC,WORLD BANK and the like muogope kama ukoma hana jipya. maendeleo huja kwa kufanyakazi kwa bidii,juhudi na maarifa.hao OIC wao utajiri wa kukuletea wewe wanaupata kutoka wapi? maliasili zetu zote hizi bado kuna watu wanawaza vya kuombaomba mpaka leo? ni nini hasa kinawafanya watu wawe na hulka ya kupenda vya bure.[. Mkuu umenena haswaaa....ukiona mtu anafikiria kusaidiwa badala ya kuwajibika kufanya kazi ujue akili yake ni tegemezi kwani haelewi hata hao anaotaka kujiunga nao mali yenyewe wachuma huku huku kwetu Afrika
 
Allah ni mungu dhaifu anaabudu watu ili wampiganie kwa kuchoma makanisa!..Ukristo upo kwenye mioyo ya watu wala si majengo hivyo hata ukichoma makanisa yote mungu atalijenga kanisa lake na kushughulika nanyi!!Kama kule nungwi znz au MV Scagit...Ila allah anayetegemea apate heshima kwa wanadamu kwa dhambi ndiye atakaye athirika kwa kukojolea qur'an maana hana nguvu ya kujipigania Dhaifu kama JK

Mungu asiekuwa dhaifu ni yesu tu, ambae hawezi kuona bila kutumia macho mawili kama ulokua nayo, ambae na uume na anakojia na kutoa kinyesi chenye kunuka, ambae hawezi kutembea kama hana miguu yake miwili yenye vidole vitani vitani kama wewe, ambae anakula na kunywa kama wewe<------ je huyu ndie mungu ambae unaemuabudu? Mi naona kama unamuabudu mtu mwenzako ivi
 
Huyu hajapigwa ban?Kesho mimi gwaki nachoma Qur'ani kwa neno hilo alomtamkia huyu bwana!Haya ni maneno ya shetani ambayo yanapaswa msikitini tu na sio hapa JF

Mi naomba picha yako wewe mwenyewe unakojolea msahafu ama unaukanyagakanyaga ikiwa kama ushahidi,,,,,, usiwe maneno mengi tu :)
 
Huwa nakasirika ninaposikia na kuona uzembe na ulafi wa viongozi wetu, lakini ninapokuja kwenye upande wa pili nikiwaangalia wananchi kama hawa najua kwa nini viongozi wetu wako hivyo walivyo.
 
mawazo kama haya yana nafasi yake kubwa kwenye dustbin na hayana nafasi ndani ya Tz, (pamoja na kwamba tume yenyewe imejaa waislamu). Nafikiri mwisho wa siku mawazo ya elites wa taifa hili ndiyo yatakayotumika kuandika katiba mpya na hii circus road show ni formality tu.
 
Nakubali 100%, kwa kuongezea tu, aliwafaidisha Wakatoliki peke yake.


Spati picha kama Waarabu wale akina Tip Tip wangejenga shule then Nyerere angezitaifisha ili Wakristo wasome hali ingekuaje, Asante Mungu kwa kutowapa ufunua wa Elimu Waarab, dunia ingekua mahali panapo tisha hasa! Kweli Wakristo ni wapole, wamenyanywa shule zao ili na wapagani, waabudu shetani na wafuga majini wasome, badala ya hao wafuga majini kumshukuru aliyewapa elimu bure, leo wanamlaum, Yesu alisema kweli, dini ya Uongo utaijua kupitia matunda yake, inahubiri chuki na faraka saa zote ili tupigane, shetani ana hamu na damu ya Watanzania kweli, Kwa jina La Yesu ameshindwa!
 
Huwezi kuwa muumini wa dini ya madina alafu ubaki salama.

Yesu ndio chanzo cha amani na mafanikio duniani.

Isail huwezi kushindana na Isaka hata siku 1 kwani ww si mtoto wa ahadi..
 

................
Naye Iddy Ally alipendekeza katiba hiyo kuitambue mahakama ya kadhi na umoja wa nchi za kiislamu (OIC) kwa kuwa havina madhara yoyote kwa nchi.​

Hata hivyo alidai kuwa vyombo hivyo viwekewe utaratibu wake pasipo kuingiliwa huku vikiwa na kanuni zake zinazoheshimika.​

Alipoulizwa na mjumbe wa tume hiyo Richard Lyimo iwapo anafahamu maana ya OIC hakuweza kufafanua lolote zaidi ya kueleza kuwa si jukumu la mjumbe huyo kumuuliza swali badala yake anapaswa kuchukua maoni yake.​

............​


Kwa kushidwa kujibu swali la mjumbe wa tume, moja kwa moja naamini Iddy Ally alikuwa anapendekeza maoni ambayo hayaelewi. Hivyo kutilia mashaka kama hayo yalikuwa maoni yake au alipangiwa na mtu mwingine kuyasema.

Na kuna uwezekano mkubwa huyo aliyempagia maoni hayo Iddy Ally kuyasema sio raia wa Tanzania. Hii itaathiri ubora wa katiba itakayopatikana kama wajumbe hawatapata maoni kutoa kwa raia halisi wa Tanzania.
 
Huyu hajapigwa ban?Kesho mimi gwaki nachoma Qur'ani kwa neno hilo alomtamkia huyu bwana!Haya ni maneno ya shetani ambayo yanapaswa msikitini tu na sio hapa JF

Mi naomba picha yako wewe mwenyewe unakojolea msahafu ama unaukanyagakanyaga ikiwa kama ushahidi,,,,,, usiwe maneno mengi tu :)
 
qur'an ndo ilomwongoza aongee hayo yalokuudhi? Je unaposema maneno hayo ya shetani yapaswa yaongelewe msikitini unataraji nini kwa waislamu? Tunatofautiana tu itiqadi jinsi tunavomuabudu mungu wala haitupasi kukashifiana hivo mkuu, utafurahi kuona kitabu chako kitukufu kuona kimefungiwa maandazi? Si kuchoma!

Hilo hakina shida kwangu make kitabu si changu. Kama kutabu ni cha Mwenyezi Mungu si.bora nimuache ashughulike na huyo mtu aliyefungia maandazi mwenyewe. Wewe unaangalia kitabu tu.lakini hujui hata huyo mtu pia ni wa Mwenyezi Mungu mwenye thamani kuliko hicho kipande cha karatasi kinachochapishwa tu kiwandani. Dini ni ujinga wa hali ya juu. Hata huwezi kulitambua hilo.
 
Iddy Yuko Sawa kamati inatakiwa kupokea maoni na sio kumuuliza Iddy swali. (OIC) hakuna asiyejua maana yake ila Hata Mimi ningeulizwa swali na mwana kamati nisingejibu kwani sio kazi ya kamati kuuliza wachangiaji maswali hususani swali la kebehi Kama Hilo. Kama ally Angekuwa hajui maana ya OAU pia asingeweza kujua. Kwamba mwanakamati Hana mamlaka ya kumuuliza yeye swali Bali kuchukua maoni yake thats the fact.



Kwa kushidwa kujibu swali la mjumbe wa tume, moja kwa moja naamini Iddy Ally alikuwa anapendekeza maoni ambayo hayaelewi. Hivyo kutilia mashaka kama hayo yalikuwa maoni yake au alipangiwa na mtu mwingine kuyasema.

Na kuna uwezekano mkubwa huyo aliyempagia maoni hayo Iddy Ally kuyasema sio raia wa Tanzania. Hii itaathiri ubora wa katiba itakayopatikana kama wajumbe hawatapata maoni kutoa kwa raia halisi wa Tanzania.
 
Udini uliopandikizwa na kulelewa vyema na Jeikei pamoja na serikali yake umekuwa, umeokomaa sasa unajitokeza live kwa watanzania!
 
Soon you will be rewarded and granted your wish endeleeni tuu mtavuna udini wenu ila mkumbuke watoto na wajukuu zenu hawatokuwa salama kamwe kwa plant seeds zenu



Huwezi kuwa muumini wa dini ya madina alafu ubaki salama.

Yesu ndio chanzo cha amani na mafanikio duniani.

Isail huwezi kushindana na Isaka hata siku 1 kwani ww si mtoto wa ahadi..
 
Kwani bila OIC hakuna maisha? Badala ya kupigania rasilimali zinazoporwa na masisiem katika nchi yako, unataka uwe ombaomba kwa waarabu! Shame on him Maamuma!

na hii inayojiita jumuia ya nchi za kiisilamu mbona hua haisaidii pale mmoja wa member wao anapoonewa na wengne wasiokua wanachama? mfano iraq, palestina, na sasa hata syria nchi ambayo mauaj yanasababishwa na nchi hiz zinazojiita mataifa mkubwa?
 
Hayo ni maoni yake kama mwananchi wa kawaida kabisa. Swali kubwa hapa lingekuwa je kwa kundi kubwa hili la wananchi wengi ambao hawakupata fursa ya kusoma, je unatarajia maoni ya namna gani? Uelewa wao wa katiba ni mifumo ya undeshaji nchi ni mkubwa kiasi gani? Tegemeeni maoni ya kuchekesha hata kutoka kwa wasomi.
 
Back
Top Bottom