Wataalamu tunao - tatizo ni wanasiasa?

Ni kweli wasomi tunao lakini hivi hatutaweza kufanikiwa kwa kua watalam hao kama huyo dr nzotta sio wa maswala ya siasa ingalikuwa inchi ili iendelee inahitaji wanasiasa wataalam
 
Mtu yuko Sweden unasema wataalam tunao? Vipi mazee?

Tena katutukana Watanzania na nchi yetu, anadai ameona akikaa Tanzania "akili zangu zitaoza."

Kibabu hakina uzalendo, kinalaumu eti malighafi zinaibiwa na wageni kwa sababu hatuna wataalam, sasa anataka mtaalam gani abaki nchini kama yeye anaona akibaki ataoza? Mzandiki mkubwa babu huyu.
 
wataalam wa nini ikiwa hata toothpick na pamba za kuosha masikio vinaagizwa nje ya nchi, hapa tz kuna wataalam gani????????????? ukisema kuna wezi wa kalaam nitakuunga mkongo.
 
Back
Top Bottom