Wataalamu naomba msaada hapa, nina Gono sugu isiyosikia Antibiotics

Mwanamke aliyekuambukiza keshatibiwa, katibiwa na dawa gani ????

Ulipomwambia unaumwa akaonyesha anaujua huu ugonjwa ila wewe ndio mgeni, anaujua unaitwaje ?????

Haupo hapa kueleza matatizo yote, daktari nae ulimwambia hujaenda kumueleza matatizo yote ???????

Demu anaekuachia umsokomeze midude kinyume na maumbile kavu kavu na usaha juu anawezaje kukunyima taarifa za matibabu aliotumia, au umekuwa uki repu mtoto kinyume na maumbile na ni wewe ndio unaambuambukiza hilo li kaswende sugu na kesi iko pending... ndo maana hutaki kugusia chochote cha hali ya demu ??

Next time ukienda hospitali inabidi uonyeshe kwanza Police Form 3 ya ulikopatia hayo majeraha...
 
Jana majibu yametoka Agakhan ya culture and sensitivity.
"NO BACTERIA OR FUNGAL GROWTH"

Dr kanambia Kua inaamanisha Kua dawa nilizopewa zinafanya kazi. Hivyo basi nimalize dozi.

Pili kakanusha madai ya Kua kuna "Gono Sugu" isipokua nilienda hospital za Kwanza wakashindwa kunipa right antibiotics kutokana na errors za diagnosis, pili dalili zangu zilkua zinahitaji Dr makini kuweza kuniskiliza vizur sababu dalili zangu zilkua ngumu kidgo kusema moja Kwa moja ni gono, hivyo ikafanya diplococci wazubae Tu hivyo nikawa siponi.
Kasema diplococci wana- respond vizur Sana kwenyw antibiotics.

Hospitali zetu hizi za wilaya, zinachangamoto kwenye vipimo, nimepima 3 times, urinalysis, pelvic and abdominal ultrasound with x-ray naambiwa ni UTI -cytitis napewa antibiotics Tu Ila zikiisha Tu ugonjwa bado upo...
Pili ukienda kama pale kigambon wilayani pale vipimo vyao magumash Sana... unatoka kwa Dr WA OPD, anakuandikia labda pima urinalysis na ultrasound,.. ukiingia ndan Dr vipimo ultrasound anakwambia piga na xray, au mi ninazo dawa za ugonjwa wako njoo kesho nikupe... So ni shida sanaaa...

Lakin Baada ya kwenda Agakhan kigamboni pale, Dr alivo chukua urinalysis Tu akanambia Kua Nina STD na si UTI, hawakunipigisha ultrasound wala x-ray nikapewa antibiotics za Ceftriaxone injection na Doxycycline for 10 days,
Baada ya kumaliza doz nilhisi kupona ila bado nikawa napata maumivu makali Sana kwenywe base ya uume na urethra...
... ikanibidi niende moja Kwa moja Agakhan Ocean road ili wanicheck vizur na niwe na uhakika..

Nikafanya Vipimo japo ni expensive Sana pale.
Diagnosis ikaja Kua ni prostatitis..
Nikapewa antibiotics Kali Sana na kutoka Kua nipo kwenywe antibiotics 3 consecutive months mwili nao umechoka, stress, kuwaza Kua why huponi, vimechukua toll kubwa Kwenye afya yangu....
....naendelea na antibiotics zote nilizopewa agakhan pamoja na pale kisiwani kigambn na nashukuru saiv nimeanza kupata nafuu...
Ukipona ndo uwe makini sasa, na umuambie huyo mwanamke aende huko Ocean road akapate matibabu.
 
Habari za Harakat za Maisha Wana forum.

Mimi ni kijana Nina miaka 32.
Nimeugua UTI mara moja last year mwezi nov, baada ya kutumia mlango wa nyuma....
Nikaenda hospital nikapewa flucamox na metronidazole siku tano nikapona.

3 months ago nimekutana tena na demu yuleyule, nikapiga kawaida Tu bila mpira..... Nikaikasirisha mizimu....

Nikajua ni Ile UTI tena imerudi, nimekunya flucamox mara 2, bila nafuu....
Nikaenda zahanati nimepewa Augmentin cluvamate nikapata nafuu kidogo tatizo bado linarud....

Nikaenda hospital agakhan kigamboni, wakanambia kwenywe vipimo mkojo uko Sawa Ila Kwa maumivu ya pumbu na uume pia kutoa semen yenye maji mepesi ya maziwa ni STD ambayo ni gono...

Nikapewa Ceftriaxone injection 1g
Doxycycline 2/siku 10
Metronidazole 400mg/siku 10
Nikapata nafuu kipindi natumia dawa siku ya kumi Tu maumivi makali Sana kwenywe uume na chini ya kitovu, mkojo hauumi nikikojoa.... Usaha mara moja sana Hadi mwishon mkojo nikojoa ndio naweza uona. Nikipekenywe urethra naona kama vidonda ivi au ulcers....
Napata maumivu makali Sana nikaa au nikilala...

Nimetumia antibiotics for 3 consecutive months Hadi mdomoni nimepata candida..
Nikajua hapa basi nishaukwaa...

Nimeenda kupima hiv imetoka -ve, Dr kanambia kama nilimnyonya mate na yeye alinyonya uume basi ndio nimepata fangus mdomoni... Sometimes nameza Kwa shida Sana....

Nikachoma pesa kwenda Agakhan Ocean road, nimefanaya vipimo vya uroflowmetry, urinalysis, na ultrasound... Mtaalamu WA urology akasema Nina prostatitis..

Nimepewa Lomefloxacin 400mg siku 14, Alfuzosin siku 14 na aceclofenac...
Problem ni Kua hizi dawa zinanizingua Sana.

Nikaenda hospital tena Jana kisiwani kufanya kipimo cha HIV na damu, HIV sina ni negtv, Ila kwenywe damu Dr kasema bado kuna STD... Pia fungus mdomoni...
Kaniandikia
Cefixime 400mg PO 1*1/5
Ceftriaxone 2g injection
Azitromycin 1g PO stat
Fluconazole 150mg/10 days Kwa ajili ya fungus

Leo nipo siku ya pili naendelea na dozi, (dawa za prostatitis nimeziacha Kwanza nimalize gono)

Swali
1. je nikawaida Kwa gono kutoka usaha WA maziwa mepesi mara moja moja na pia kwenywe semen Kua na kama maji maji ya maziwa.

2. Ni kawaida kuwa na maumivu makali ukikaa au kulala ukiwa na gono,

Nilikuambia humu kuwa gono sugu dawa yake ni mkojo wa punda dume tena unakinga akiwa anakojoa na dude lote limedinda ili uwe na ute ute wa shahawa, kisha tafuta mailimao au ndimu na ukamue maji yake ya kutosha. Baada ya hapo changanya mkojo wa punda dume na maji ya malimao na unywe kwa ujazo wa kikombe cha chsi kwa siku mara moja kwa jumls ya siku 21. Baada ya hapo utakuja hapa kunishukuru! Punda wengi wanapatiksna Dodoma, Singida na Sumbawanga!
 
Wewe kwisha kazi yako. Kwanza hapo ushapoteza kizazi, kuanzia sasa ukiambiwa mtoto ni wako ujuwe umebambikiwa.

Huo ugonjwa ni sugu na hauponi, subiri umauti tu.

Fanya toba zako kwa namna ujuavyo, hakuna dakrari wa kukusaidia kaswende sugu hilo, limechanganyika na ukimwi.

Ukimwi ukipimwa hapo hauonekani, bakteria wanakula virusi lakini unavyo, bakteria waki[unguwa ndiyo ukimwi utaonekana, bado una incubate.

Rudi kwa muumba wako ufanye toba, kwisha kazi yako ya uasherati na uzinzi.
Hata kama sijasoma udakitari hapa ume andika pumba
 
Nilikuambia humu kuwa gono sugu dawa yake ni mkojo wa punda dume tena unakinga akiwa anakojoa na dude lote limedinda ili uwe na ute ute wa shahawa, kisha tafuta mailimao au ndimu na ukamue maji yake ya kutosha. Baada ya hapo changanya mkojo wa punda dume na maji ya malimao na unywe kwa ujazo wa kikombe cha chsi kwa siku mara moja kwa jumls ya siku 21. Baada ya hapo utakuja hapa kunishukuru! Punda wengi wanapatiksna Dodoma, Singida na Sumbawanga!
Bora kufa tu
 
There are always certain types of people on internet, filled with lots of HATE, ENVY and GRUDGE. Moreover these PEOPLE will JUDGE and give verdict to people they even don't know.... had unajiuliza na kujua kwamba hili nalo ni tatizo katika jamii.....

Thanks Wataalam na watu wengine ambao wamepita na kutoa yakwao..

Nipo naendelea na matibabu na SASA napata nafuu, kila siku.

God ndio anaejua umauti unanifika muda gani, wew binadamu WA udongo kama Mimi nakuombea pia uishi Maisha marefu.
Pole jamaaaa hilo gonoo la kwenye tigooo mbona balaa unalooo...!! Zingatia dawa maliza dozi kingine Ukipona usisahau mateso uliyopitiaaa.
 
Wewe kwisha kazi yako. Kwanza hapo ushapoteza kizazi, kuanzia sasa ukiambiwa mtoto ni wako ujuwe umebambikiwa.

Huo ugonjwa ni sugu na hauponi, subiri umauti tu.

Fanya toba zako kwa namna ujuavyo, hakuna dakrari wa kukusaidia kaswende sugu hilo, limechanganyika na ukimwi.

Ukimwi ukipimwa hapo hauonekani, bakteria wanakula virusi lakini unavyo, bakteria waki[unguwa ndiyo ukimwi utaonekana, bado una incubate.

Rudi kwa muumba wako ufanye toba, kwisha kazi yako ya uasherati na uzinzi.
There are always certain types of people on internet, filled with lots of HATE, ENVY and GRUDGE. Moreover these PEOPLE will JUDGE and give verdict to people they even don't know.... had unajiuliza na kujua kwamba hili nalo ni tatizo katika jamii.....

Thanks Wataalam na watu wengine ambao wamepita na kutoa yakwao..

Nipo naendelea na matibabu na SASA napata nafuu, kila siku.

God ndio anaejua umauti unanifika muda gani, wew binadamu WA udongo kama Mimi nakuombea pia uishi Maisha marefu.
 
Pole jamaaaa hilo gonoo la kwenye tigooo mbona balaa unalooo...!! Zingatia dawa maliza dozi kingine Ukipona usisahau mateso uliyopitiaaa.
Thanks Sana, wataalamu WA urology WA pale agakhan ocean road... Dr Mawalla, na Dr Zahr wako vizur Sana... Kesi yangu wameniambia ishakwisha Nile Sana, maji mengi nimalize na Dozi afu niludi tena hospital
 
Nafikiri kutokana na matibabu mengi aliyofanya Kufikiria Kipimo cha Uroflowmetry ilikuwa sahihi sana na hata USS..

Kwanini!
Ilikuweza ku rule out (R/o) magonjwa yote ya Prostate maana Inaweza pia kusababisha usaha na hata shahawa kuwa Laini yaani maji maji na ni kitu ambacho yeye mtoa mada amesema alikuwa nacho..

Na kumbuka prostate gland ndo inayohusika kwenye utengenezaji wa enzymes zinazohusika kwenye utengenezwaji wa semen ..

na kuhusu USS..

Siku hizi kuna wimbi la vijana na watu wazima wa makamo kupata magonjwa ya Hydronephrosis na kidney stone ambaye yana dalili tofauti tofauti...
wengi wanakuja kama maumivu ya tumbo Chini ya kitovu au upande wa kulia na kushoto..
Thanks Dr Kwa Ushauri wako, nahisi pale agakhan walisema ni prostatitis kutokana kwamba antibiotics nilizopewa zilkua sahihi kabisa Kwa gono, na ilitakiwa niwe nimepona, Ila kutokana na kwamba wadudu wengine waliingia kwenywe prostate dawa nilizopewa hazipenyi kirahis na hivyo ndio ikawa nikiacha dozi Tu Hali inakua mbaya Sana,

Naendelea na dozi ya prostatitis maendeleo ni mazuri..
nafkiri nikienda tena Dr ataextend dozi alisema ni inacgukua muda kidgo kuclear infection kwenywe prostate..
... nawashukuru wote Kwa muda wenu..
 
5th week on antibiotics treatment naona kuna improvement kubwa japo kuna siku unaweza kuwa vibaya...

Dawa sahihi zipo Kwa kila ugonjwa shida MTU unaumwa unapewa dawa ambazo sizo zinapelekea bacteria kuwa sugu, janga nalo hili.

Ushauri; Kwa mwanaume kama utaona unakunywa antibiotics za kila Aina na hupati matokeo... Tafadhali nenda haraka kamwone dactari specialist WA urology akufanyie checkup then upate matibabu...
 
Back
Top Bottom