Wataalam wa Afya: Wanawake wanayopenda kuvaa Nguo za Kubana wakiwa Wajawazito huzaa Watoto Mbumbumbu na Kero katika Jamii

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,647
109,036
Tusichoshane sana tafadhali tafuta Gazeti la Habari Leo la leo tarehe 18, Desemba, 2023 ili Ujisomee zaidi.

Mtu una Mimba lakini bado tu Unahangaika Kuvaa Nguo za Kubana zinazoonyesha Ramani yako nzima ya Kibaiolojia ili tu Umtege na Umvutie GENTAMYCINE ukisahau kuwa kwa Kitendo hicho unaenda Kutuzalia Toto Mbumbumbu ( lisilo na Akili ) na Kero Kubwa kwa Jamii yetu.
 
Back
Top Bottom