Boflo
JF-Expert Member
- Jan 20, 2010
- 4,384
- 4,409
Picha 1- Mswahili wa Dubai
2- Mfalme wa Kuwait- Alsabah (mswahili)
Wana JF nimepata mfadhili, kwa sasa niko nchi za Kiarabu, Nimeamua kukupeni elimu kidogo kuhusu Uarabuni, mara nyingi nimewasikia baadhi ya wana JF wakisema kuwa hakuna waswahili nchi za Kiarabu kama ilivyo kwa America na Ulaya, Sasa nakupeni
hali halisi, huku kuna Waswahili wengi sana ambao ni raia wa huku na ni matajiri wa kutisha, wanamiliki visima vya mafuta na wengine wana vyeo vikubwa sana serekalini mpaka wafalme!! Mfalme wa Kuwait ni mswahili .
Nchi kama Qatar, Bahrain, Kuwait, Oman, Saudia, UAE wamejaa waswahili na nimatajiri wakubwa sana, hawana mpango kabisa na Africa japokuwa ndio asili yao.
Waswahili wa Ulaya na Marekani , wengi wao ni watu wa tabaka la chini, wakimbizi na masikini!.. ni tofauti na waswahili wa Uarabuni.
Kuhusu maendeleo niliyoyakuta huku, sijui hata namna ya kuelezea, hawa watu wako mbali saaaaaaaaana, nakuhakikishieni mpaka mwisho wa Dunia utafika hatuwezi kufikia hata stage hii ninayoiona hivi sasa!!, siasa za usanii ndio matunda tuvunayo Bongo