Wastaafu Afrika Mashariki wafunga tena barabara ya Kivukoni

Walielezwa na wakili wao, hamaki ikawa kubwa wengine wakaamua kufunga barabara kwa mawe ya parking ya mahakama kuu.
 
Jamani hawa wazee wanatia huruma sana,mpaka leo wanahangaika tu.

Nimewaona walivyochoka, baadhi yao ni walemavu. Yaani hilo deni limekuwa kama godoro la Tanfoam... "Alidai babu, mpaka mjukuu hajalipwa"
 
Jinsi wanavyowasunbua hawa wazee ndio maana hiki chama cha magamba na serikali yake mara nyingine hawajui laana zinazowapata zinatoka wapi!!
 
kwahiyo mzee wa kaya aliwahadaa tuu?duu huyu jamaa anazidi jiwekea mazingira magumu yakutofika 2015,sijui kashachoka masiki ya mungu.
Sasa hawa wazee inabidi wasaidiwe na nguvu ya umma maana mahakama za magamba zishashindwa...
 
Cha kusikitisha ni kuwa na wao tumaini lao lipo kwa mcwerreh, niliwasikia wakiulizana 'hivi rais ameshindwa kutoa tamko?'
 
kwahiyo mzee wa kaya aliwahadaa tuu?duu huyu jamaa anazidi jiwekea mazingira magumu yakutofika 2015,sijui kashachoka masiki ya mungu.
Sasa hawa wazee inabidi wasaidiwe na nguvu ya umma maana mahakama za magamba zishashindwa...

Mhm, labda? Halafu inakuwa vipi mtu unahadaa watu wa umri wa baba yako, kama si kujitafutia laana ni nini?
 
<p>
Mhm, labda? Halafu inakuwa vipi mtu unahadaa watu wa umri wa baba yako, kama si kujitafutia laana ni nini?
</p>
<p>&nbsp;</p>
Kawakosea heshima hawa watu,leo hii mama mwenye nyumba wangu ni mmoja wapo aliniaga asubuhi anakwenda kwenye kesi yao lkn nikashangaa amerudi kafura kwa hasira na huzuni imemjaa kwa kukata tamaa wakati mkuu wa kaya alipowaahidi kwenye ile hotuba yake ya mwezi wa tatu wakaona bonge la mtu.
Mungu amlani huyu mtu kwani chakushangaza hela waingereza walishazilipa ila wajanja wamezibunya sasa wanawasumbua wazee wa watu bure.
 
Back
Top Bottom