Tony Gwanco
JF-Expert Member
- Jan 22, 2013
- 5,913
- 1,209
unavyoongea tuu inaoneka na mtu wa hovyo sana hata huo uswazi.Wewe hata vitu vimekuzidi kwa kila kitu unaita dogo kirahisi tuu...ndio maaana siku zote waswahili hujikuta ktk mechi wanapwaya mnaishia kusema ni hujuma au mechi imekataaa..
kama ulivyipwaya mwaka 2005.2010 na mtakavyo pwaya mwaka huu.
ulivyopwaya kwa mgimwa na serkali za mitaa
kama ulivyo pwaya hadi mkajiunga na nccr na tlp mkaendelea kupwaya
kama mlivyopwaya siku mlipotoka nje na baadae rasimu ya katiba ikapatikana na mtapwaya katiba itapita
kama ulivyo pwaya ukagawa chama na kuzaliwa act ambao sasa ndio mshindani wa ccm.
kama mbowe alivyopwaya shule slaa akapwaya kuwa padri
kama mbowe alivyipwaya biashara na slaa vilevile
kama mlivyipwaya mkatelekeza familia