Wassira alihukumiwa kwa rushwa siku nyingi

eliesikia

JF-Expert Member
Oct 29, 2010
787
755
Wassira alitiwa hatiani na mahakama 1997 kwa kutoa rushwa huko Bunda baada ya kushitakiwa na Jaji Warioba. Then, Kutokana na alikuwa mpinzani na bado alikuwa bora katika mambo ya rushwa basi CCM kwa kupitia kauli mbiu yao dhidi ya kombatia rushwa imefanikiwa vilivyo kumpandisha cheo Wassira katika nyanja za kisiasa.
Sasa ni chombo adimu cha rushwa huko Arumeru. Mtoa rushwa ni muongo, mnafiki, mzandiki wa kweli kabisa. Sijui kama mheshimiwa anazo hizo sifa.
CCM hoyeeee! Rushwa juuu juu zaidi
 
wassira is not to be taken seriously,he looks like a clown and he talks like one.
 
Mimi ninashangaa huyu wassira anapata wapi GUTS za kumsema Dr. Slaa. Wassira is convicted crimal. Alipatikana hatia ya kutoa RUSHWA mbele ya mahakama kuu. Hii kesi ipo na Mtanzania yeyote makini anaweza kufanya reference ya kesi hii mahakama kuu. Sasa kweli mtu ambaye alishapatikana na hatia ya RUSHWA mbele ya mahakama kuu, leo atatueleza nini? kwamba mchezo wake wa kutoa/kupokea rushwa ameacha? I remember alipewa probation ya miaka 5 (i.e Asigombee cheo chochote kwa kipindi cha miaka 5)

Ninaomba DR. Slaa au Team ya kampeini ya CDM mmkumbushe hii kesi Wassira inaelekea he is sufering from SELECTIVE AMNESIA. Huenda trypanosomiasis (sleeping sickness) anayougua pia inaathiri MEMORY yake.
 
Mbona hakufungwa acheni uzushi!

Wewe ni mmoja kati ya Watanzania wasiopenda kushughulisha bongo zao. Unafikiri kila kosa ni lazima UFUNGWE JELA? Wake up dude! Nenda mahakama kuu omba kesi ya Wassira Vs Judge Warioba 1997 utapata ukweli. No research no right to Speak.
 
wassira is not to be taken seriously,he looks like a clown and he talks like one.

hatuwezi kumdharau mwizi na mla rushwa ambaye anadhani na kuamini kwamba yeye ni smafi na kuingilia mambo ya watu

He is a crook
 
Jamani kuna mengi ya kujadili huyu Mr. Hana jipya.
Yeye mwenyewe anajua swala la msingi analoshikilia halipo.

Kwa mtu wa umri wake namambo anayoshikilia haviendani.
Kama angekuwa ni Baba yangu ingebidi nimkane kukwepa aibu inayomkabili.
 
Wassira alitiwa hatiani na mahakama 1997 kwa kutoa rushwa huko Bunda baada ya kushitakiwa na Jaji Warioba. Then, Kutokana na alikuwa mpinzani na bado alikuwa bora katika mambo ya rushwa basi CCM kwa kupitia kauli mbiu yao dhidi ya kombatia rushwa imefanikiwa vilivyo kumpandisha cheo Wassira katika nyanja za kisiasa.
Sasa ni chombo adimu cha rushwa huko Arumeru. Mtoa rushwa ni muongo, mnafiki, mzandiki wa kweli kabisa. Sijui kama mheshimiwa anazo hizo sifa.
CCM hoyeeee! Rushwa juuu juu zaidi

Kwa kifungo cha miaka mitano kutoshughulika na siasa ni tosha kukosa sifa za kugombea kiti chochote katika chama chake cha magamba. Lakini kutokana na sera yao ya kulindana ni ruksa. Vijana hawana nafasi katika chama cha magamba
 
Back
Top Bottom