Wasomi vyuo vikuu Dodoma watoa tamko kuunga mkono tamko la Jumuiya ya Wanazuoni

UMOJA WA WANAZUONI WA VYUO VIKUU DODOMA KUUNGA MKONO KAULI YA JUMUIYA YA WANAZUONI VIJANA TANZANIA ILITOLEWA JANA MJINI DAR ES SALAAM.

UTANGULIZI.

SISI ni mkusanyiko wa wanazuoni wanaosoma vyuo vikuu mbalimbali mkoani Dodoma, tumejitokeza kuzungumza na nyinyi waandishi wa habari kuhusiana na mambo mbalimbali yanayofanyika nchini ikiwemo suala zima la AKAUNTI YA TEGETA ESCROW.

Pia, tumejitokeza kuunga mkono kauli ya Jumuiya yetu ya vijana wanazuoni juu ya tamko lao walilolitoa kwenye vyombo mbalimbali vya habari jana na kupewa nafasi kubwa kwenye vyombo hivyo ikiwemo magazeti na radio. Tunashukuru sana kwa hilo ndugu waandishi.

AKAUNTI YA ESCROW

Kabla hatujazungumza tunapenda kuwaasa hasa wanasiasa jambo lolote ukiwa hauna uhakika nalo, usipende kulizungumzia mbele ya umma kwa kuwa mwanasiasa ni mtu makini na mwenye uelewa mpana wa mambo.

Tumekaa kwa muda mrefu tukisoma taarifa mbalimbali kwenye magazeti na kwenye mitandao kuhusiana na suala la akaunti ya ESCROW ili kujua ukweli wa suala hilo, ambalo kwa kiasi kikubwa linazidi kupotoshwa.

Tunafurahi sana kupata nafasi hiyo ya kuzungumza na nyinyi waandishi wa habari kwa kuwa ni watu muhimu na mtaweza kuhabarisha umma juu ya usahihi wa taarifa

kuhusiana na sakata hilo, baada ya kufanya utafiti wa kutosha na kuelewa mambo mengi.

Sisi wanazuoni tunawajibu mkubwa wa kuitetea nchi na kuisemea pale tunapoona kuna jambo baya limefanyika, kwa kuwa uelevu wetu umetokana na kupata elimu bora iliyotokana na kodi za watanzania wenzetu na hatupo tayari kuona mambo yakienda mrama.

Tukiwa kama wasomi vijana, tuna wajibu kwa taifa letu kulipigania ili kuhakikisha kuna usawa kwa kuwa Tanzania ni taifa huru na linahitaji kuwepo kwa wanasiasa huru na wenye maono ya kuifikisha nchi pahala salama kwa kuwa uwezo na maadili yao ni muhimu.

Pia, tunapaswa kuhakikisha nchi yetu inaendeshwa kwa kufuata misingi imara ya ukweli, uwazi, uwajibikaji na kuzingatia uhuru wa haki kwa kila mtu na watanzania waelewe kuwa kujiuzuru sio ushujaa au uzalendo. Jiulize wote waliojiuzuru ni wazalendo wa kweli wa nchi yetu?.

Wabunge wametufedhehesha, wametunyong’onyesha na wameonyesha ni jinsi gani wameshindwa kuwa wakweli kwenye kusimamia sheria na uhuru wa haki wa kila mtu(natural justice) kwa kutengeneza tuhuma na kisha kumtaka Rais Jakaya Kikwete awawajibishe watu hao.

Sote sie tunakumbuka kwamba hivi karibuni Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ilitoa taarifa ya uchunguzi wake wa akaunti ya TEGETA ESCROW kwa serikali na kwa bunge na ripoti hiyo iliweza kuvuja kwenye mitandao mbalimbali

Kuvuja huko kulitusaidia sie kupata taarifa za ripoti hiyo na kuzisoma kwa umakini, ueledi na ufanisi mkubwa na kugundua kinachozungumzwa sasa ni mchezo wa kisiasa unaochezwa na wabunge wakishirikiana na wafanyabiashara mbalimbali.

Ripoti iliarifu juu ya hadidu za rejea 11 ilizopewa, pamoja na kutaja ofisi mbalimbali zilizoanza kuomba kufanyiwa uchunguzi kabla ya Ofisi ya Bunge, ikiwemo Ofisi ya Waziri Mkuu na Ofisi ya Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini.

Jitihada za ofisi hizo, zilisaidia kupatikana kwa taarifa bora na yenye mantiki kwa jamii na ndio maana katika uchunguzi wake, CAG hakusema kuwa ESCROW ni fedha za umma au la, pia alisema kuwa uchunguzi wake haukumtia hatiani mtu au kikundi chochote cha watu kilichohusika katika sakata hilo. Je tujiulize yale yanayozungumzwa kwenye mitandao na uamuzi wa kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali(PAC) imepata wapi?.

Tunatambua kilichofanywa na PAC kugeuza ripoti ya CAG na kuitengeneza ripoti yao isiyojaa uzalendo wa hali ju ni kumharibia jitihada za Rais Jakaya Kikwete kuonekana ni kiongozi anayeongoza serikali ya kifisadi wakati sio kweli. Rais Kikwete amefanya mambo mengi makubwa kwa nchi hii na tutamkumbuka kwa ukarimu wake aliokuwa nao licha ya kuwepo kwa upuuzi, uzandiki unaoendeshwa na watu hasa wabunge huku yeye mwenyewe akiwa anacheka na kutoa ushahidi wa kila jambo kwenye vyombo vya habari.

Katika ripoti ya CAG pamoja na viambatanisho vyake

vyote, tumesoma na kuvirudia na hakuna iliyosema kwamba Waziri mkuu amelisababishia hasara Taifa au mawaziri wengine nao wameshiriki kuliletea hasara taifa huku wabunge wenyewe wakiwa wanafanya shughuli za kitaifa kishabiki, kichuki, kimaslahi binafsi bila kuzingatia ukweli na misingi ya Utawala bora.

Ndugu zangu, kwenye Ripoti ya CAG kumesema wazi kwamba, serikali imefanya jitihada stahili kuhakikisha taratibu zinafuatwa ili kujiondoa kwenye madhara yanayoweza kutoke baada ya pesa kufuatwa.
Ripoti ya CAG haijamtia hatiani mtu yeyote je kinachozungumzwa na PAC ni sahihi? Au mapendekezo yao kwa Rais yamezingatia utawala bora?.

Haya ni maswali ambayo PAC inapaswa kuyajibu ili umma wa watanzania na sisi wasomi tuelewe kuliko kukaa juu juu na kuimba wimbo wa Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo ajiuzuru, au Katibu wake, Eliakim Maswi ajiuzuru au hata Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Fredrick Werema naye ajiuzuru. Je kujiuzuru kwao ndio suluhisho la matatizo au ndio uzalendo?.

Tunashindwa kuelewa misingi ya kamati ya PAC ya kutaka kuwajibishwa kwa watu hao bila ya kuwa na hatia yeyote ikiwa taasisi ya ukaguzi inasema hakuna kosa lililofanyika, Je PAC wamepata wapi makosa?.

MAPENDEKEZO NA MSIMAMO WETU.

Kwa kuwa Bunge wao wamepeleka maombi yao haramu kwa Rais, nasisi tunapeleka mapendekezo yetu kwa Rais na kumsihi afanye yafuatayo

1. Kwa kuwa Swala zima la ESCROW limegubikwa na siasa, maslahi binafsi, chuki, wivu na kukomeshana, hivyo tunamuomba Rais asitekeleze azimio hata moja mpaka kwanza umma utakapoelezwa ukweli halisi wa mbivu na mbichi na kila lililo nyuma ya pazia kuhusiana na sakata hili
2. Tunamuomba Rais aunde chombo huru, ili swala hili lichunguzwe na kufanyiwa maamuzi huru pamoja na kuviagiza vyombo vyake vya ulinzi na usalama viwachunguze wabunge hawa kwa kukubali kutumiwa, kuhongwa na kununuliwa ili kutuondolea watetezi wetu wa Rasilimali.

Mungu ibariki Tanzania.
Imesomwa na
Josephat Joachim
0768-911840
………………………………………………………
Katibu Mtendaji wa Umoja wa wanazuoni wa Vyuo Vikuu Dodoma.

View attachment 211223

View attachment 211224

View attachment 211209

Nashauri iundwe tume Mara moja kuchunguza elimu wanayopata wasomi hawa
 
Kwa mamlaka ambayo nitakabidhiwa huko mbele ya safari, naamuru hata mmoja wa hawa wanojiita wasomi wa Dodoma asitunukiwe chochote!
 
ungetaja mjina yenu wasomi wa dodoma ili tuwajue wote,au ndo kina kibaraka wa lowasa liyewekwa udom ndo mnajiita wasomi,si niliambiwa mliwekwa madarakani na uongozi wa chuo akina mlacha kwa amri ya lowasa? nahisi ndo mnalipa fadhila eee
 
Yaani nyie ndio wasomi feki kabisaa, na nchi kama inategemea kupata wasomi kama nyie basi taifa litakuwa ni taabu sana. yaani na usomi wenu kabisaaaa, mmeshindwa kuisoma report ya CAG na kuielewa hata kidogo? pamoja na usomi wenu mmeshindwa kuelewa kuwa CAG hawezi kumtia mtu hatiani yeye siyo mahakama badala yake yeye ni kutoa mapendekezo tu? kibaya saaaana ambacho mmejiabisha na kujiita wasomi, CAG kasema kuna hela ambazo hazikulipiwa kodi, kodi ya wananchi ilipotea, katika hili bado mmeona ni jambo la kisiasa? daah kama elimu ya vio vikuuu ya kisasa ndo hii, ni hasara kabisaaa kwa taifa. kumbukeni mlipo, sisi tulisha pita zamani, na kujiita wasomi ni aibu tupu. wajinga wa mwisho kabisaaa bora mkanyameze kimia uku mkisubiria kuangaika na bahasha za kaki kuomba kazi mtaani tu, make kwa mtaji huu hata elimu ya kujitegemea sidhani kama mtakuwa nayo!
 
Nakubali uniite mjinga.... Ila tuko wengi....!!!! Tumeanza kwa Uchaguzi mitaani, tunapasha kwa ajili ya Katiba Pendekezwa, fainali 2015.... Ujinga wetu utaonekana tuuuuu:msela::msela::msela:...

Kwa kuwa umetaka mwenyewe nikuite mjinga, basi ntakuita mjinga. Subiri matokeo rasmi yatolewe, usiwe na kiherehere.
 
Ni kweli kabisa hii kampuni ya wasomi ya sasa ni vituko tupu. japo wapo wanaojitambua.

suala la bunge na kamati zake hazihojiwi kwingine popote kwa kuwa moja ya kazi zake ni kuisimamia serikali na hili ndilo lililofanyika, hivyo wanazuoni hawa kama wanampenda sana muhongo nawashauri kurejea maneno ya mwalimu.

kuwa kama wanampenda sana basi wampeleke majumbani mwao wakanywe nae chai huko, ila ktk suala la uendeshaji serikali kusiendeshwe kishoga.
uendeshaji wa serikali unahitaji umakini ili kuleta tija kwa dhumuni lililokusudiwa.
 
Kama kweli ni wasomi, wajiulize swali moja tu-kwa nini Rugemalila baada ya kupata mgawo wa Escrow account alimwaga pesa kwa Majaji Mujuluzi na Ruhangisa, Andrew Chenge aliyekuwa Mwanasheria mkuu wakati mikataba ya IPTL na Serikali ikisainiwa, William Ngeleja aliyekuwa Naibu Waziri wa Wizara husika wakati wa mgogoro na akaunti ikifunguliwa, Daniel Yona aliyekuwa Waziri husika wakati IPTL ikiwa na mgogoro na Tanesco?

Huo mgao kwa watu hao ambao ni Wanasiasa na Mawaziri husika una tafsiri gani kwao? Huo mgao kwa Majaji-Jaji Mujulizi akiwa Wakili wa IMMA Advocates wa
 
Nahisi wasomi tunaowaona sasa ni wale wa shule za kata, wanaofaulu huku hawajui kusoma wala kuandika, msijenge chuki ni mtazamo tu
 
Wasomi? Kwa mawazo hayo ya kutetea wezi wa mali za umma?
Wenzenu walichachamaa bungeni hadi wakawatukana wenzao "2mbili" lkn waliaibika baadae. Pu.MBA.vu sana
 
KAMA NINYI WASOMI JIBUNI HAYA? 1. Reginald Meng Ana Maslahi Gani Na Tibaijuka, Chenge, Werema Ngeleja Etc? 2. Yaani Kuipitia Kote Ripoti Ya CAG Hata Ukwepaji Kodi Uliofanywa Hamkuona? 3. Kama Hamjamwamini CAG Mnataka Nani Afanye Uchunguzi? 4.Kwahiyo Hata Kampuni Ya PAP Kukosa Usajili Kihalali Nako Ni Uonevu? 5. Kwanini Deni La Tanesco Limepanda Maradufu?6. Kamati Ya PAC Ikua Na Wajumbe Wangapi? Na Inamaana Hao Wajumbe Wole Hawana Uzalendo Na Nchi Yao Kuliko Ninyi?7.Kwahiyo Na Ninyi Mnamshauri Rais Apuuzie Ushauri Wa PAC Kwa Kanuni Zipi Kisheria? Hii Kitu Sii Bure Ni Hatari Sana.
 
Nilisema hakuna ataeachia ngazi na utabiri wangu umetimia, hakuna aliyeachia ngazi.

Ya Kikwete namwachia Kikwete, kile ni kichwa adhyim na kwa wadhifa wake, ana mengi anayoyaona na kuyasikia zaidi yako na yangu. Nilishamshauri, tena nyuzi imo humu humu JF, itafute.

Unajivunia nini hapa? Utabiri au nini? Hao wezi hawakuachia ngazi sababu ya tamaa ya madaraka na udhaifu wa mamlaka yao ya uteuzi. Otherwise kutoachia kwao ngazi sio jambo la kujivunia, usiwe na akili kama za Assumpta Mshana...
 
Nyie wasomi ama waganga njaa!! Mnaacha kufanya Research kwenye mambo ya maana, mnatetea wezi wa Escrow! Shame on YOU.
 
Yaani hawa 'wasomi' wanataka kutuaminisha kuwa Wabunge walioipitia ripoti hiyo hawana elimu na sio wasomi kama wao?

Aina hii ya wasomi ndio walioifikisha nchi yetu hapa kwenye ufisadi wa kuogofya.
 
Back
Top Bottom