Wasomi v/s wasiosoma.

Danvis

Member
Apr 27, 2012
15
1
NCHI HII MPAKA HAPA TULIKO IMEJENGWA KWA KUTUMIA MAWAZO YA WATU AMBAO HAWAKUA WASOMI NAO WALIWEZA KUWEKA MISINGI IMARA SANA NA TUKAWEZA KUIHESHMU JE?

Kwa sabbu katba tuliyo kuwa tunaitumia imeundwa kwa mawazo ambyo ya watu ambao hawakuwa wasomi na kama walkuwepo walkua wachache ila wengi walkuwa si wasomi KWA SASA TUNA WASOMI WENGI NA NDIO HAO WANATAKA TUWE NA KATBA MPYA ETI KUWA KATBA YA ZAMANI HAIENDANI NA MAZNGRA YA SASA JE?

Yale maoni ya watu ambao hawakuwa wasomi kwa kipndi kile waliochangia yakawekwa kwenye ktba na yakaweka msingi mingi na mizuri ambyo hata sasa inatumika. Je wataitupilia mbali hawa wanao iandika katba mpya?
 
wasomi hawapo practical, wasiosoma wapo practical na wanapihaga maishu bila longolongo.

WASOMI WANASOMA ILI WAPATE VYETI NA BAAPATE WAPATE WASIVYO NAVYO(hata kwa kuiba na kuwabania wengine),WASIOSOMA WANAPENDA KUSOMA ILI WAJE ANGALIE WALIVYO NAVYO KWA UFANISI.ie wanasomea wanachokuja kifanyia kazi.
 
Back
Top Bottom