Wasomi Tanzania kulikoni?,

commonmwananchi

JF-Expert Member
Mar 12, 2011
3,377
1,952
Mimi binafsi ninaamini nchi yetu inao wasomi wa kutosha(wa kweli) ukiondoa wale wengi wa vyeti magumashi wakiwemo baadhi hata ya waheshimiwa wetu.
JE? Inakuwje baadhi ya kazi zinazohitaji proffesionals hapa nchini unawakuta wageni toka nje lukuki,hususan wa-keii!,na unapokwenda nchi za jirani kama KENYA,UGANDA na RWANDA huwakuti wasomi wetu wakiwa wamepenya soko la ajira huko.Je tatizo ni nini hapo? au ndio kuzidiwa viwango vya taaluma.au ni kutoaminika kwa vyeti vyetu??
 
hiki kilio ni cha siku nyingi saana lakini wakuu wetu bado hadi leo hawajakitolea ufumbuzi.
 
Back
Top Bottom