Wasomi msio na ajira mje hapa tulonge, mnataka nini hasa?

fazili

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
13,819
18,557
Napenda kuchukua maoni ya wasomi hasa vijana waliomaliza vyuo siku za karibuni na nitayafanyia kazi kuona wasomi wetu mnawezaje kutumia elimu yenu na kuchukua nafasi zenu katika jamii ya watanzania na kwingineko duniani.

Je wewe ni msomi usiye na ajira na unapenda kuwa katika pool ya wasomi na kushirikiana kuunda network ya kuleta mamadiliko katika maisha yako? Basi usikae kimya, welcome to the connection, welcome to the network.

Nataka kusikia hapa mnapendekeza nini, umoja wa namna gani. Tuweke nguvu yetu pamoja na mimi kwa uzoefu wangu nitajua namna gani ya kunyoosha mamba ya vijawa wa kitanzania, ila napenda kwanza kuona mnasemaje na kama kweli mnahamasika.

Ajira ni ngumu, ila kama kati yenu wapo walio tayari kuchakarika tutaanzia hapo......
 
Back
Top Bottom