Wasiohesabiwa kuongezewa siku 7 nyingine JK

Nokla

JF-Expert Member
Aug 12, 2012
3,176
1,730
Raisi JK amesema kwamba wale wote wasiohesabiwa katika siku 7 za mwanzo wataongezewa siku saba nyingine ila wanatakiwa waende kwa wenyekiti wao wa serikali za mitaa.
Wadau mnaionaje hiyo?

Source hotuba ya JK.
 
raisi jk amesema kwamba wale wote wasiohesabiwa katika siku 7 za mwanzo wataongezewa siku saba nyingine ila wanatakiwa waende kwa wenyekiti wao wa serikali za mitaa.
Wadau mnaionaje hiyo?

Source hotuba ya jk.

ahaa ameshaanza kuwabembeleza amesahau aliwaambia atakaegomea sensa ni kosa la jinai?
 
madodoso pia yamekata...thz iz bongo bwana,reflector zinageuzwa uniform.
 
zoez halikufanikiwa-kama wameshindwa kujipanga ndani ya miaka 10-siku 7 hawataweza-
kama swala ddogo la kushesabu hawawez-ni kipi wanaweza?
 
Sasa vipi kuhusu m4c,hawa gambaz hatasema kuwa inaingilia ratiba ya sensa
 
hii ndo tanzania.....

Kusajili simu ....waliongeza muda
kuweka details bank.....wameongeza muda
vitambulisho vya taifa......waliongeza muda.
Sensa......imeongezwa muda

Kila jambo lazima liongezwe muda...

Natumaini uraisi hautoongezwa muda loh....
 
Raisi JK amesema kwamba wale wote wasiohesabiwa katika siku 7 za mwanzo wataongezewa siku saba nyingine ila wanatakiwa waende kwa wenyekiti wao wa serikali za mitaa.
Wadau mnaionaje hiyo?

Source hotuba ya JK.
Sasa wale jamaa wa Iringa wanataka kuzuia mikutano ya CDM kwa sababu gani?
 
hii ndo tanzania.....

Kusajili simu ....waliongeza muda
kuweka details bank.....wameongeza muda
vitambulisho vya taifa......waliongeza muda.
Sensa......imeongezwa muda

Kila jambo lazima liongezwe muda...

Natumaini uraisi hautoongezwa muda loh....

bwana wee!mi nishachoka !
 
Back
Top Bottom