Wasio tambulika ajali ya Boti ya Skagit waanza kuzikwa na serikali

Gumzo

JF-Expert Member
Jan 2, 2012
211
7
[h=3][/h] [h=3][/h]
DSC_1126.JPG


DSC_1131.JPG


KWA HAbARI KAMILI BOFYA HAPA GUMZO LA JIJI
 
waletwe huku bara tuwatambue maana hatuna nguvu yani pesa ila makato yaposho yawabunge itumike kuwaleta ndugu zetu wasiwazike
 
Hiyo boti iliyozama haina orodha ya wa2 waliokuwa kwenye boti au ni zile kama daladala mwenge-mbagala kama vp wachunguzwe wafungiwe lesen coz ajal nyng 2 ztatokea kwa mtindo huu
 
Inabidi wazikwe, maiti ziko katika hali mbaya. Samaki wameshaanza kuzila. Vile vile zimeanza kubanduka ngozi na baadhi ya viungo kuanza kujiachia.
 
Back
Top Bottom