Wasifu wa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali(CAG), Professa Mussa Juma Assad

A first language, native language or mother/father tongue (also known as arterial language or L1) is a language that a person has been exposed to from birth or within the critical period. In some countries, the term native language or mother tongue refers to the language of one's ethnic group rather than one's first language.

Children brought up speaking more than one language can have more than one native language, and be bilingual or multilingual. By contrast, a second language is any language that one speaks other than one's first language.

Ni Mtanzania gani aliyelelewa anaongea Kiingereza?
 
Kwa nini Watanzania huandika kwenye CV zao upande wa language, english and swahili fluent? Kwangu mimi ina maana hakuna tofauti kati ya english na Kiswahili kwenye matumizi ya hizo lugha jambo ambalo siyo kweli!

Hakuna Mtz aliyezaliwa na kukulia TZ ambaye ana uelewa wa matumizi ya english languange kama first language, hivyo alipaswa kuandika swahili first language, english fluent!

Kuna tofauti hapo, kwani Muzungu anaju kwamba wewe siyo english language native speaker hata ujishebedue na kujifanya unajua english kivipi lkn bado siyo native speaker, hivyo huwezi kumdanganya!

Pointless..unajikanyaga tu,bila kujua hata unachokisema mwenyewe
*Acha husuda mkuu...pale ambapo mtu anastahili-Apewe stahili zake...na si masimango yasiyo msingi wowote
 
Pointless..unajikanyaga tu,bila kujua hata unachokisema mwenyewe
*Acha husuda mkuu...pale ambapo mtu anastahili-Apewe stahili zake...na si masimango yasiyo msingi wowote

Ni wapi nimepinga Prof. Assad kupewa stahiki yake? Nimeongelea kwenye lugha, na yeye nimetoa kama mfano tu, lkn Watanzania wengi huandika hivi kama kwamba hakuna tofauti kati ya Kiswahili na Kiingereza wakati siyo kweli na Dunia inalijua hili kama wewe umezaliwa na kukulia Tanzania!
 
Kwa Watu walioshika Academic Positions hasa Ma Lecturer anavyosema ni Fluent in English huwa sina shaka nao wana practice sana.
Nani kagudanganya?? mbogo anapenda kuongea kiswahili huku akichomeka maneno ya kiingereza. Kama ni mwanamke basi utakuta anapanga wigi zake kama mzungu anavyofanya nywele zikimziba macho huku yah!! yah!! na ishara ya vidole kama alama ya kufunga semi. Sasa ukitaka ucheke mbane aongee chenyewe tupu bila kusoma sehemu kwa muda wa nusu saa ndio utaona anavyoangaika kutafuta msamiati. Hufuatilii kile kipindi cha SIMBEYE cha TBC (today in perspective) wale si wanazuoni? zamani nilikuwa naogopa kuongea brocken hadharani lakini baada ya kuona ni ugojwa wa Taifa hata nikutane na profesa gani naongea tuu hivyo hivyo.
 
Kwa nini Watanzania huandika kwenye CV zao upande wa language, english and swahili fluent? Kwangu mimi ina maana hakuna tofauti kati ya english na Kiswahili kwenye matumizi ya hizo lugha jambo ambalo siyo kweli!

Hakuna Mtz aliyezaliwa na kukulia TZ ambaye ana uelewa wa matumizi ya english languange kama first language, hivyo alipaswa kuandika swahili first language, english fluent!

Kuna tofauti hapo, kwani Muzungu anaju kwamba wewe siyo english language native speaker hata ujishebedue na kujifanya unajua english kivipi lkn bado siyo native speaker, hivyo huwezi kumdanganya!
sawa
 
Back
Top Bottom