Kuhani
JF-Expert Member
- Apr 2, 2008
- 2,944
- 64
4. Asingkeuwa nao kama ninavyomfahamu asingeacha kazi World Bank na kurudi Bongo kufanya kazi kwenye lawfirm ya Mahalu na Warioba, TOL na baadaye kwua mwanasheria wa binafsi...
Just a little fact checking there:
Profile ya Masha katika documents zinazotolewa na Bunge zinasema hivi:
EMPLOYMENT HISTORY
1991 - 1995 International Law Chambers Legal Officer
1995 - 1997 Maajar, Rwechungura Law Office Legal Officer
1997 - 2000 Tanzania Oxygen Limited Company
1997 – 2006 IMMMA Advocates
2006 - 2006 Ministry of Energy and Minerals
2006 to date Ministry of Home Affairs Deputy
Source: Bonyeza
Sasa FMES, tusaidie, Waziri Masha "kaonyesha uzalendo kwa kuacha kazi World Bank na kurudi nyumbani" lini ? World Bank ya wapi hiyo ??? Ni yeye "Lau" aliyekwambia hiyo habari ?