Wasifu wa Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dr. Vincent B. Mashinji

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Dec 22, 2010
16,987
20,271
FB_IMG_1457815851823.jpg


WASIFU WAKE KWA UFUPI.

JINA: Dr.Vincent Mashingi

UMRI: Miaka 43
KABILA: Msukuma

TAALUMA: Daktari bingwa wa binadamu (MMED) na Daktari wa Falsafa (PhD).
ELIMU:

1981 - 1987 Elimu ya Msingi (Shule ya msingi Iligamba)

1988 - 1992 Elimu ya Sekondari (St.Pius seminary)

1992 - 1994 A-Level PCB (Mzumbe High School).

1995 - 2001 Chuo Kikuu cha Makerere (Degree ya Udaktari MD)

2003 - 2005 Chuo Kikuu Kishiriki Muhimbili (Shahada ya pili - udaktari bingwa (MMED Anaesthesiology).

2004 - 2004 Chuo Kikuu Kishiriki Muhimbili (Astashahada ya Utafiti)

2008 - 2010 Evin School of Management (Shahada ya Uzamili (Masters) ya Public Relations (CSR)

2007 - 2010 Blekinge Institute of Technology (Shahada ya pili (Masters) ya Usimamizi wa biashara, MBA)

2010-2010
University of Carlifonia - Anderson School (Stashahada ya Management Development)

2008 - 2008 University of Maryland School of Medicine (Astashahada Human Virology)

2010 - 2016 Chuo Kikuu Huria Tanzania (Shahada ya uzamivu (PHD) ya Uongozi.
UZOEFU WA KITAALUMA,

2001 2002, Daktari wa mazoezi - Intern doctor (Hospitali ya taifa Muhimbili).

2002 - 2003, Mtafiti wa kujitegemea (Freelance Researcher).

2003 - 2005, Daktari (Hospitali ya Taifa Muhimbili)

2005 - 2006, Daktari bingwa (Hospitali ya Regency).

2006 - 2008, Msimamizi wa mradi (Shirika la kimataifa la afya IMA World Health)

2008 - 2016, Mshauri wa tiba (TB and HIV), Shirika la afya la Kimataifa la IMA WorldHealth.

NB:
Msaada kwa wafuasi wa chama chakavu ambao definately watakua wanaona "mapichapicha" kwenye elimu ya Katibu Mkuu mpya wa CHADEMA. Ili kuwasaidia wanaweza kukariri kwamba GS mpya wa CHADEMA ana degree 1, Masters 3, Certificate 2, Diploma 1 na PhD 1.

Dr.Mashingi ndiye Katibu Mkuu wa chama cha siasa msomi kuliko wote duniani. Hapa Mbowe kacheza kama "Messi" na "Ronaldo" kwa wakati mmoja.!
 
[QUOTE="lacuna, post: 15553910, membealiyesabi anahitaji huo wasifu,wakat tunajuaa ni maarufu wamigomo!hakuna mtz atakae kuwa nyumbu kipindi hiki,tumeshtukaa[/QUOTE]
Kweliu awezi kufanana Na Yule adui Wa tembo aliyesababisha tembo kupotea Tanzania
 
Kwa siasa za sasa za Tz chama kikuu cha upinzani kinaitaji MTU makin sana lkn mwenye sauti kubwa kijamiii navyooona huyu bwana anaenda kuwa remote lkn sio katibu mkuu,okay labda tumpe muda lkn mashaka ni makubwa kuliko matumaini
matumaini ulishindwa kuyapata kwa serikali iliyopita upinzani unayapata vp ikiwa wanashinda ktk chaguz na ccm wanapindua hayo matumain unayapata vp ikiwa democracy haiheshimiw?
 
Back
Top Bottom