MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,011
- 16,748
Ni Mburundi aliyechangamka Kiukatili akiwa Tanzania na ndiyo Mmoja wa Waandamizi wa Operation zote za Kiunyonyaji na Kiutesaji alizokuwa akizifanya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro Ole Sabaya ambaye hata Yeye alimtaja pia.Who's our VP, Dr Philip Mpango. Sitaki CV yake. Hiyo ninayo. Nataka kumfahamu kwa undani sana. JF haijawahi kushindwa. "Who's Philip Mpango"?