Wasifu wa Ally Salum Hapi

Ally Salum Hapi ni kijana mzaliwa wa Nzega mkoani Tabora. Kijana huyu anayetoka katika familia ya kawaida kabisa (si ya kitajiri au uwezo wa kifedha) alipata elimu yake ya shule ya Msingi humo humo Mkoani Tabora. Baadae alichaguliwa Kujiunga na kidato cha kwanza katika shule ya Ufundi ya Wavulana Bwiru iliyoko jijini Mwanza. Akiwa Bwiru Boys aliweza kuchaguliwa kuwa Kiranja Mkuu (Head Prefect) akiwa kidato cha pili tu. Hii ilichangiwa na uwezo wake wa ushawishi na ujenzi wa hoja kama alivyokuwa amejitanabaisha miongoni mwa wanafunzi. Ni katika Uongozi wake aliwashawishi wanafunzi wenzake kugoma na wao pasipo kujua nia yake walifanya hivyo. Katika mgomo huo aliwasaliti wenzake na akapelekea wanafunzi 15 wakifukuzwa shule ilihali yeye akibaki na hivyo kufanikiwa kumaliza shule japo hakufanya vizuri katika masomo ya ufundi (Technical subjects) hasa Fizikia lililokuwa kiungo kwa machaguo yote na hivyo kutopata chaguo la Serikali.

Kijana huyu alijiunga na masomo ya kidato cha tano katika shule moja ya binafsi jijini Dar es Salaam huku akiamua kusoma masomo HKL (History, Kiswahili and Language). Ikumbukwe kuwa hakuwa kusoma somo la Historia akiwa O level lakini alilazimika kulisoma akiwa A level. Mungu si Athumani Kijana huyu alifaulu kwa Kupata Daraja la Kwanza pointi 4, na hivyo kujiunga na Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam Kitivo Cha Sheria mwaka wa masomo 2007/2008. Akiwa mwaka wa kwanza alijaribu kujitangaza vya kutosha na hata Kufikishwa katika Kamati ya Maadili na Akina Owawa Stephen na David Silinde (Mbunge wa Mbozi Magharibi kupitia Chadema). Cha ajabu katika kamati hiyo aliwasingizia kina Silinde, Owawa na Selemani Ally kuwa ndio wahusika wakuu, hivyo aliwasaliti katika makubaliano yao ya mwanzo na ya pamoja. Akiwa Chuoni alifanya harakati ili awe Rais wa serikali ya wanafunzi DARUSO. Katika harakati zake alikutana na vigogo wa CCM katika Hotel ya Travertine iliyoko Magomeni na kupatiwa fedha za kampeni na kuhonga wenyeviti wa Vitivo ili wampitishe. Baada ya hapo alikwenda kwa M/Kiti wa Kamati ya Bunge Mashirika ya Umma (wa Bunge la Tisa) na kuomba laki sita (Tsh 600,000/-) ili afanyie maandalizi ya kuwa mgombea (awahonge wenyeviti).

Baada ya harakati zake zote mwisho wa siku wakambwaga chini maana wanachuo wa UDSM si wakuchezea na alidhani kuwa atawahonga na fedha za mafisadi na kisha atapita. Hela walikula na bado wakamtosa. Hapo ndipo raha ya siasa. Alikuja kuambulia Ubunge wa kuteuliwa kutoka kwenye Kitivo chake cha Sheria. Akiwa Mbunge, Bunge la DARUSO kwa kauli moja lilimwamini na kumchagua kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Mabadiliko ya Katiba ya DARUSO mwezi Machi 2010. Bajeti kwa ajili ya kamati hii ilipitishwa na yeye kama Mwenyekiti wa Kamati alichukua Tsh 1,000,000 kwa ajili ya kazi mbali za Kamati katika kushughulikia Mabadiliko ya Katiba kwa maana ya Kuratibu mapendekezo na maoni ya wanafunzi chuoni. Cha ajabu hakuitisha hata kikao kimoja na wajumbe wake, pesa akala na hakuna mapendekezo yoyote aliyowasilisha. Bunge la wanafunzi lilipotaka kujua sababu za kutokuwepo mapendekezo ya katiba, lilivunjwa eti muda wake umeisha.

Hivi karibuni alipitishwa kuwania nafasi ya Makamu Mwenyekiti Taifa UVCCM. Sina shaka na siasa zake za jukwaani maana anajenga hoja ipasavyo na anajiamini na hutetea kile anachokiamini hata kama ni cha kiusaliti/kinafiki au kifisadi. Shaka yangu iko katika Uadilifu wake, na Uzalendo wake kwa Vijana wenzake na taifa kwa Ujumla.

Kijana huyu si Mwadilifu na si Mzalendo na anaweza kununuliwa kwa bei rahisi sana kiasi cha kuuza uzalendo kwa wenye pesa. Kwa sasa anafanya kazi Crest Attorneys ofisi ambazo ziko jingo la Coronation, mtaa wa Samora/Azikiwe. Ukitaka kuwaona utawapata katika jengo hilo ghorofa ya pili. Pamoja na kufanya kazi pale, Salum Ally Hapi amekuwa akifanya kazi kwa ukaribu sana na ofisi za Ridhiwani Kikwete za GRK Advocates.

Ni uwazi usioshaka kuwa kijana huyu ana nguvu ya Riz1 katika kinyanganyiro cha nafasi ya Umakamu Mwenyekiti Taifa-UVCCM. Huyu ndiye Salumu Ally Hapi anayeonekana kupererusha vyema nafasi hiyo katika masikio ya walio wengi, huku ikiwa ni Kinyago kilichochongwa na wenye Pesa kuwakilisha maslahi yao ndani ya Umoja!

Huyu ndiye Ally Salum Hapi. Kila la Heri!

View attachment 67788
Jamaa kwenye forehead Utadhan kichwa cha mbooo (dickhed)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom