wasichana wengi wanapenda

kilimasera

JF-Expert Member
Dec 2, 2009
3,068
268
kila siku najiuliza kwa nini wasichana wengi wanapenda wanaume wenye pesa hata kama wao wenyewe wana uwezo wa kupata pesa.Kwa nini wasijiamini nao kama wanaume na kufikiria kuwa pesa siyo jambo la maana sana kama unampenda mwenzio? nataadharisha ni waschana wengi sio wote ila asilimia kubwa na wakati huohuo wanaume wengi wanapenda wanawake wenye kipato cha chini au maskini
 
Back
Top Bottom