wasichana wa JF tuna.......? Au wanaume wa JF ni.......?

Husninyo

JF-Expert Member
Oct 24, 2010
23,723
9,189
Aisee, tangu nijiunge sijaona thread ya mdada wa JF kumzimikia mkaka, kama ipo mtu aniwekee link. Hadi sasa nina kumbukumbu ya wadada 12 wa jf walioanzishiwa na wakaka threads za namna ya kuzimikia zimikia. Huwa najiuliza ina maana wadada wa jf tunaogopa kuonesha hisia zetu hazarani?, tunajiheshimu hatuzimikii zimikii hovyo?, Tunaweza kuzizuia hisia zetu au ni kwamba wakaka wa Jf ni wakware (baadhi)?
Nawatakia ijumaa njema.
Mimi penda wewe.
 
Sijaona hata mimi... ebu tuendelee kuangalia wachangiaji wengine
 
Nafikiri umewakumbusha-ngoja tusubiri hisia zenu mkizimwaga basi......
 
kama ilivyo mila na desturi zetu(Kiafrika zaidi)wadada hatutongozi,twatongozwa,so inaonyesha tunavyo endeleza mila zetu lkn pia mwanamke ni mtu wa vitendo so it can be kapeleka hisia zake huuukooooooooooooo kwenye PM si wajua mchele haumwagwi kwenye kuku wengi?so maybe mambo yafanywa chemba kimnya kimnya!..............
 
Hiyo ipo toka enzi za mababu zetu! Ni mara chache sana utakuta mdada anamwambia mkaka kuwa anampenda! Atamwonyesha tu signals!
Kwa JF utaona mdada anacomment kwenye kila thread au post yako
 
duh hili sikulijua hilo ngoja niache ku comment
Hiyo ipo toka enzi za mababu zetu! Ni mara chache sana utakuta mdada anamwambia mkaka kuwa anampenda! Atamwonyesha tu signals!
Kwa JF utaona mdada anacomment kwenye kila thread au post yako
 
aisee, tangu nijiunge sijaona thread ya mdada wa jf kumzimikia mkaka, kama ipo mtu aniwekee link. Hadi sasa nina kumbukumbu ya wadada 12 wa jf walioanzishiwa na wakaka threads za namna ya kuzimikia zimikia. Huwa najiuliza ina maana wadada wa jf tunaogopa kuonesha hisia zetu hazarani?, tunajiheshimu hatuzimikii zimikii hovyo?, tunaweza kuzizuia hisia zetu au ni kwamba wakaka wa jf ni wakware (baadhi)?
Nawatakia ijumaa njema.
Mimi penda wewe.

hang over b4 haujanywa.... Furahi day hiyo. Karibu minazini pub na usiku ngapulila-miziki ya zamani
 
mimi nampenda sana RR na michango yake sijui bado yupo ula uko nyuma nilikua silali ju yake.
 
Aisee, tangu nijiunge sijaona thread ya mdada wa JF kumzimikia mkaka, kama ipo mtu aniwekee link. Hadi sasa nina kumbukumbu ya wadada 12 wa jf walioanzishiwa na wakaka threads za namna ya kuzimikia zimikia. Huwa najiuliza ina maana wadada wa jf tunaogopa kuonesha hisia zetu hazarani?, tunajiheshimu hatuzimikii zimikii hovyo?, Tunaweza kuzizuia hisia zetu au ni kwamba wakaka wa Jf ni wakware (baadhi)?
Nawatakia ijumaa njema.
Mimi penda wewe.

...........................RISKS.......................
To laugh is to risk appearing the fool.
To wheep is to risk appearing sentimental.
To reach out for another is to risk involvement.
To expose feelings is to risk exposing your true self.
To place ideas and dreams before a crowd is to risk being called naive.
To love is to risk not being loved in return.
To live is to risk dying.
To try is to risk failure.
To hope is to risk depair.
But risk must be taken,because the greatest hazard in life is to risk nothing.
The person who risk nothing,does nothing,has nothing,is nothing,and becomes nothing.
They may avoid suffering and sorrow,but they cannot learn,feel,change,grow,love,live.
Chained by their certitude,they are slaves;they have forfeited their freedom.
Only a person who risks is truly free.

-JANET RAND-​
 
i like the statement. Pesa kisuuzio tu...duh lizzy unamaneno.....i wish u could be my real wife
Hahaha...asante Hazo...mi mwenyewe hata sijui nayatoa wapi!!Hehe tuma posa basi kama bado uko uko!!
 
Aisee, tangu nijiunge sijaona thread ya mdada wa JF kumzimikia mkaka, kama ipo mtu aniwekee link. Hadi sasa nina kumbukumbu ya wadada 12 wa jf walioanzishiwa na wakaka threads za namna ya kuzimikia zimikia. Huwa najiuliza ina maana wadada wa jf tunaogopa kuonesha hisia zetu hazarani?, tunajiheshimu hatuzimikii zimikii hovyo?, Tunaweza kuzizuia hisia zetu au ni kwamba wakaka wa Jf ni wakware (baadhi)?
Nawatakia ijumaa njema.
Mimi penda wewe.

Wadada mnapenda kimya kimya na kumalizana na vidume huko PM
 
Back
Top Bottom