@WASHINGTON DC; Wabunge na Viongozi wa tawi la CHADEMA watembelea ubalozi!

Kiganyi

JF-Expert Member
Apr 30, 2012
1,242
765

Baada ya kazi pevu ya uzinduzi wa tawi la Chadema jijini Washington Dc wabunge wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamtembelea rasmi Balozi wa Tanzania nchini Marekani.

Balozi wa Tanzania Nchini Marekani na Mexico Mhe. Mwanaidi Sinare Maajar akipata picha ya pamoja na Mbunge wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mhe. Peter Msigwa ndani ya Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani

Wabunge wa Chadema Mhe. Peter Msigwa wapili kushoto, Mhe. Nassari Joshua, Al-Marufu Dogo Janja, (Watatu kulia), ofisa wa ubalozi Mhe. Peter Msigwa, Kaimu Balozi Mhe Lilian Munanka pamoja na viongozi wa tawi la Chadema Washington Dc wakipata picha ya pamoja na balozi Mhe. Mwanaidi Sinare Maajar baada ya kumtembelea rasmi siku ya Jumanne Mei 29,2012 Washington Dc Nchini Marekani.

Mbunge wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mhe. Peter Msigwa akipata picha ya pamoja na waTanzania waishio nchini Marekani, ndani ya Ubalozi wa Tanzania Washington Dc. (Picha na swahilivilla.blogspot.com)
 
Kumbe nywele za maiti watu huanza kuvalishwa utotoni? nilifikiri wakikubuhu tu.
 
Kuvaa kuna wenyewe, huyo jamaa kavaa suti grey, shati blue, tai maroon (halafu la kizamani), viatu vyeusi halafu ndio yupo kwenye official duty hapo ubalozini au alienda kufanya show?

Namshauri aonane na wataalaam wa mavazi wamjulishe kipi kinavaliwa wapi "dress for occasion". Amuulize hata Zitto Kabwe tu.
 
nakujibu as follows; kwanza hapo hawapo afficial aliyeleta taarifa amesema wameenda kutembea na kumbuka hapo ni tz house, pili ukitaka kuzungumzia kuvaa kuna kitu kinaitwa colourbroke cku hizi..unaweza ukamdharau nasary kumbe anajua fasheni zaidi ujuavyo..kama ulimuona cku ile bungeni wakati wa saini za wabunge kukosa imani na pm ungeweza kumjua..
 
Kuvaa kuna wenyewe, huyo jamaa kavaa suti grey, shati blue, tai maroon (halafu la kizamani), viatu vyeusi halafu ndio yupo kwenye official duty hapo ubalozini au alienda kufanya show?

Namshauri aonane na wataalaam wa mavazi wamjulishe kipi kinavaliwa wapi "dress for occasion". Amuulize hata Zitto Kabwe tu.
Kwani wamekwenda kwenye fashion show au kwenye kazi ya siasa!
Halafu hayo mambo ya kupanga rangi za nguo sidhani kama wanaume wanayafuatilia sana. Hii ndio athari ya kutumia id feki hapa jf. Nilidhani ni kidume wewe kumbe ni miss, tena model!!?
 
Kuvaa kuna wenyewe, huyo jamaa kavaa suti grey, shati blue, tai maroon (halafu la kizamani), viatu vyeusi halafu ndio yupo kwenye official duty hapo ubalozini au alienda kufanya show?

Namshauri aonane na wataalaam wa mavazi wamjulishe kipi kinavaliwa wapi "dress for occasion". Amuulize hata Zitto Kabwe tu.

Akili ndogo siku zote hujadili vitu vidogo, angekuwa mtupu je?

  • :iamwithstupid:
 
Kuvaa kuna wenyewe, huyo jamaa kavaa suti grey, shati blue, tai maroon (halafu la kizamani), viatu vyeusi halafu ndio yupo kwenye official duty hapo ubalozini au alienda kufanya show?

Namshauri aonane na wataalaam wa mavazi wamjulishe kipi kinavaliwa wapi "dress for occasion". Amuulize hata Zitto Kabwe tu.

Ukiona Mwanaume anaangalia sana dressing code, ujue tu hachezi mbali na yale mambo yetu ya Mh. David Cameroun
 
Kuvaa kuna wenyewe, huyo jamaa kavaa suti grey, shati blue, tai maroon (halafu la kizamani), viatu vyeusi halafu ndio yupo kwenye official duty hapo ubalozini au alienda kufanya show?

Namshauri aonane na wataalaam wa mavazi wamjulishe kipi kinavaliwa wapi "dress for occasion". Amuulize hata Zitto Kabwe tu.

Hajapokea mshahara.
 
Mkuu hayo mambo ya kumatch kwa color yamebakia huko huko bongo na kina diamond platinum, siku hizi colorbroke, duu hata ukiona harusi za bongo mpka macho yanakuuma wana match mpaka soksi na pazia , angalia tuu TV tuu mkuu utaona yameshapitwa na wakati kutmach mpka kiatuu duu
 
Shhhhhh kuvaa manake nini? Think wise and wide! Hao wakubwa zenu nyinyiem/nyonya-m wanaovaa pete kibao hadi sehemu za siri ndivyo na sisi mnataka tuvae kivile? Ujinga tu na ndo maana habari ya kumkomboa mtanzania mnaipinga maana mmekalia kujipodoa na kufunga yeno na kucheka cheka hata kwenye misiba.
 
UNA UWEZEKANO MKUBWA CCM IKAWA CHANZO CHA KUCHOMWA MAKANISA ILI KUWAGAWA WATANZANIA,WALIANZA KWA KUWAPAKA MATOPE CUF BAADA YA KUUNGANA NAO WAKAHAMIA CHADEMA ETI UDINI WAKASHINDWA SASA UKASKAZINI NINA WASIWASI KUNA MKONO WA CCM:israel:
 
Mkuu hayo mambo ya kumatch kwa color yamebakia huko huko bongo na kina diamond platinum, siku hizi colorbroke, duu hata ukiona harusi za bongo mpka macho yanakuuma wana match mpaka soksi na pazia , angalia tuu TV tuu mkuu utaona yameshapitwa na wakati kutmach mpka kiatuu duu

Umeshasema harusi, hapo alikuwa harusini? Naongelea nguo zipi zinavaliwa kwa occasion ipi, siongelei ku match color.
 
Sasa wewe umeshaamua kwamba siku hiyo walikua na safari moja tuu ya ubalozini, unajua walitoka wapi na wanaenda wapi ? Unaonje hapo kama walikua wanapitia tuu, wewe ulitaka arudi kubadilisha aje kwenye occasion ya ubalozini ?
 
Back
Top Bottom