Washauri wa JM Kikwete

Kizimkazimkuu

JF-Expert Member
Nov 8, 2007
337
234
Ndugu wa JF,

Kwa muda sasa rais JK amekuwa akiandamwa na shtutma j=kadhaa kuhus maamuzi anayoyafanya au kushindwa kuyafanya. Ninavyotambua, marais huwa na washauri wao na hawa huwa ni watu muhimu sana na mara nyingi kwa rais makini na msikivu wanmchnago mkubwa katika mustakabali wa nchi. JK, lazima anaowashauri wake rasmi (maana pia lazima wapo wasio rasmi); binafsi niliopata kuwasikia ni:
1. Bi Elsie Kanza- mambo ya uchumi (www.jamiiforums.com/.../116478-hongera-bi-elsie-kanza-mshauri-wa- uchumi-wa-rais-kikwete-3.html - Cached) na tz.linkedin.com/pub/elsie-kanza/22/583/360
2. Kingunge N. Mwiru - siasa

kama kuna wengine tunawafahamu tuwataje hapa na ikibidi tujue wasifu wao, je washirika wao kibiashara (kama wanajulikana), umiliki wao wa shughuli za biashara, elimu zao/uzoefu nk. In short we need to them in details. hii inaweza kutusaidia kujua kundi lingine ambalo ni muhimu lakini liko nyuma ya pazia na pengine linachangia sana katika kuturudisha nyuma .

nawasilisha....
 
[h=1]Elsie S. Kanza[/h]
img_00101189-864531604.jpg

  • Economic Adviser to the President of Tanzania
    Office of the President of Tanzania
BSc in International Business Administration, US International University, Africa; MA in Development Economics, Center for Development Economics, Williams College, US; MSc in Finance, University of Strathclyde. Formerly, with Ministry of Finance and central Bank of Tanzania. Since 2006, current position. Trustee, Tanzania Tennis Association. Archbishop Desmond Tutu Leadership Fellow. Member: Honorary Committee, 1x1microcredit.org; Rotary Club, Bahari, Dar es Salaam; Tanzania Chapter, Society for International Development.
 
Riz1 huyu ni mwanae anaangukia katika kundi la wasio rasmi; Januari Maakmba yeye ni rasmi? katika nini....please tuwe serious tuelimishane.
 
Wana jamvi Mimi Siyo mwanasiasa, lakini Leo nimetafakari sana juu ya taifa hili na mipango isiyotekelezeka.

Nimeanza na maisha bora kwa kila Mtanzania na nikatafakari aliyemshauri Mh wakati akiingia Ikulu. Walilenga kuyaletaje hayo maisha bora ? Nikajiuliza yale mabilioni 21 waliyogawa Mh alishauriwa na wachumi wa aina gani? Nikawaza pengine wangepewa wazalishaji wadogo na wa kati wazalishe bidhaa za Muuza nje ya nchi kuliko udanganyifu uliofanywa kwa hizo bilioni za JK! Washauri walimwingiza mzee chaka, akaingia na akabaki huko huko!

Wakarudi mara ya pili na Kilimo Kwanza! Hii ni aibu zaidi na sitazungumzia udhaifu wa kilimo cha Mezani na posho za kuhamasisha na ulaji wa wajanja waliofutiwa kodi na mkulima hadi Leo hana la maana. Leo tafakari yangu na hasira yangu ni ujinga wa kutojifunza kutokana na makosa. Wajanja hawa wamemdanganya tena mzee wakaja na ;Big Results Now! Wasanii kama Mrisho Mpoto na Banana wamepewa hela kuimba na kuhamasisha. Nikajua yale yale!

No big results will come out zaidi ya Big Posho na allowances kwa wajanja waliobuni hii propaganda! Ngoja tuone hiyo BIG RESULTS kama itakuja kutoka mezani na kwenye makaratasi. Kwa elimu mnadhani madawati, vitabu, walimu bila kuwepo results kubwa mtazipata wapi? Hiyo hainihitaji mimi kuwa na elimu kubwa kutambua umbumbumbu wa viongozi wetu!
 
ksiski cha mpingo mwenye shoka kashindwa sijui wenye viwembe kama wata hata jaribu.!!!
 
No! Mi nadhani JK anashaurika, ila washauri ni watu wasiomakini. Waliosomea nje ya nchi na kupewa kazi za ku-copy na ku-paste!
 
Wana jamvi Mimi Siyo mwanasiasa, lakini Leo nimetafakari sana juu ya taifa hili na mipango isiyotekelezeka.

Nimeanza na maisha bora kwa kila Mtanzania na nikatafakari aliyemshauri Mh wakati akiingia Ikulu. Walilenga kuyaletaje hayo maisha bora ? Nikajiuliza yale mabilioni 21 waliyogawa Mh alishauriwa na wachumi wa aina gani? Nikawaza pengine wangepewa wazalishaji wadogo na wa kati wazalishe bidhaa za Muuza nje ya nchi kuliko udanganyifu uliofanywa kwa hizo bilioni za JK! Washauri walimwingiza mzee chaka, akaingia na akabaki huko huko!

Wakarudi mara ya pili na Kilimo Kwanza! Hii ni aibu zaidi na sitazungumzia udhaifu wa kilimo cha Mezani na posho za kuhamasisha na ulaji wa wajanja waliofutiwa kodi na mkulima hadi Leo hana la maana. Leo tafakari yangu na hasira yangu ni ujinga wa kutojifunza kutokana na makosa. Wajanja hawa wamemdanganya tena mzee wakaja na ;Big Results Now! Wasanii kama Mrisho Mpoto na Banana wamepewa hela kuimba na kuhamasisha. Nikajua yale yale!

No big results will come out zaidi ya Big Posho na allowances kwa wajanja waliobuni hii propaganda! Ngoja tuone hiyo BIG RESULTS kama itakuja kutoka mezani na kwenye makaratasi. Kwa elimu mnadhani madawati, vitabu, walimu bila kuwepo results kubwa mtazipata wapi? Hiyo hainihitaji mimi kuwa na elimu kubwa kutambua umbumbumbu wa viongozi wetu!

Washauri tupo ila anategemea NYOTA zaidi!!!!
 
Ndugu wa JF,

Kwa muda sasa rais JK amekuwa akiandamwa na shtutma j=kadhaa kuhus maamuzi anayoyafanya au kushindwa kuyafanya. Ninavyotambua, marais huwa na washauri wao na hawa huwa ni watu muhimu sana na mara nyingi kwa rais makini na msikivu wanmchnago mkubwa katika mustakabali wa nchi. JK, lazima anaowashauri wake rasmi (maana pia lazima wapo wasio rasmi); binafsi niliopata kuwasikia ni:
1. Bi Elsie Kanza- mambo ya uchumi (www.jamiiforums.com/.../116478-hongera-bi-elsie-kanza-mshauri-wa- uchumi-wa-rais-kikwete-3.html - Cached) na tz.linkedin.com/pub/elsie-kanza/22/583/360
2. Kingunge N. Mwiru - siasa

kama kuna wengine tunawafahamu tuwataje hapa na ikibidi tujue wasifu wao, je washirika wao kibiashara (kama wanajulikana), umiliki wao wa shughuli za biashara, elimu zao/uzoefu nk. In short we need to them in details. hii inaweza kutusaidia kujua kundi lingine ambalo ni muhimu lakini liko nyuma ya pazia na pengine linachangia sana katika kuturudisha nyuma .

nawasilisha....

Ray-C kwenye mambo ya sanaa,
 
Kumbuka Mh Rais mwenyewe alishawahi kusema kuwa Pindi Mtu ukishauriwa Jambo chukua Akili ya Mshauri changanya na Akili yako kisha tafakari Ushauri kabla ya kuamua chochote . Kwa Mtizamo wangu Binafusi najua Rais anakuwa na Washauri ktk kila idara zote Muhimu wapo wanaojulikana na wapo wasiojulikana na Mara nyingi ushauri Pia kwa Rais hujadiliwa na idara Nyeti na katibu Mkuu kiongozi Waziri wa utawala bora nk . Changamoto za utekelezaji Sera Ndio kikwazo kwani watendaji wa chini Ndio wanamwangusha Mh Rais na imekuwa inamgharimu kuunda Tume Mara kwa Mara
 
mkandara yupo humu mshauri wa mkulu mambo ya siasa pia ni vc wa udsm.
 
Mshauri wake mkuu alikua shekh yahaya, bahati mbaya kafariki so yuko idle
 
ish sasa wanamshauri nini mtu makini kiasi kile!
hebu muacheni rais wetu bana!
 
Back
Top Bottom